Ni mahala gani salama kuhifadhi pesa.

fh kwenye beat

JF-Expert Member
May 29, 2017
489
578
Habarini wakuu, Bank vs (TigoPesa, M-pesa) ni sehemu ipi nzuri kuhifadhi pesa ukizingatia faida na hasara ya kila upande.
 
Inatakiwa kuwa na pesa kila sehemu. Pesa mingi inawekwa Benki . Vipesa vya mboga vinawekwa kwenye mitandao ya simu tu.

Ukiwa na 10M, hakikisha 9M iko Bank na 1M iko kwa mitandao ya simu
 
Bank wanakata kila mwezi ada yao ila ni nafuu kwenye ku draw ela zako atm.

Tigo pesa na mpesa wana makato makubwa unapotaka kutoa ela ila hawana makato ya kila mwezi
 
Naamini zaidi M-pesa ila weka kidogo na nyingine wekeza kwenye ardhi . Ardhi inapanda bei lakini benki inatafuna pesa
 
nunua mashamba/ardhi hela yako haitokatwa wala kupotea zaidi zaidi ardhi/shamba lako litapanda thamani
 
Back
Top Bottom