Leo ni Siku ya Kimataifa ya Yoga, Meditation au Tahajudi.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
52,684
119,322
Wanabodi , leo ni siku ya kimataifa ya Yoga , Meditation au Tahajudi.

Siku hii imeadhimishwa kwa mazoezi ya Yoga kwenye fukwe za bahari ya Hindi eneo la Coco Beach ambapo mgeni rasmi ni Waziri wa Habari, Vijana , Sanaa na Utamaduni, Mhe. Nape Mnauye na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Darisalama, Paul Makonda.

Kwa wasio jua kuhusu Yoga, meditation au tahajudi karibuni pande hizi.
[URL='https://www.jamiiforums.com/threads/psychic-powers-ni-nguvu-za-kufanya-miujiza-wengi-wanazo-bila-kujitambua-je-wewe-unazo.551300/page-59']Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...
Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima Kumaris Meditation ...
Ni Leo Jioni Pale ...."Karibuni Njooni Tumediteti!" | JamiiForums ..
"Will Powers!", "Faith Healing!"-NgMiujiza Ya Uponyaji kwa Imani ...

Jifunze: Namna ya kufanya TAHAJUDI (Meditation)... | JamiiForums ...[/URL]

Meditation (Tahajudi a.k.a Tafakuri Kina) | JamiiForums | The Home ...
Mwanzo wa meditation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Je unataka kuishi maisha ya amani na utulivu? Fanya hivi ...
[URL='https://www.jamiiforums.com/threads/meditation-in-your-daily-routine.864182/']Meditation in your daily routine | JamiiForums | The Home of Great ...

Ushuhuda wa ukweli kuhusu meditation | JamiiForums | The Home of ..
Your Brain on Meditation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Sitaki tena kupaa angani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Jinsi Ya Kupanga Na Kupangua Ubongo Ili Kutimiza Ndoto (Hypnosis ...
Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way ...
Kwanini tunanaongelea sana watu tufanye meditation? | Page 2 ...
Washa Na Kuzima taa au mshumaa kwa nguvu ya fikra | P
Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection) https://www.jamiiforums.com/threads/faida-za-kimwili-afya-na-kiroho-imani-za-kufunga.1061785/
Faida Za Kimwili (Afya) Na Kiroho (Imani) Za Kufunga |
[/URL]

Kwanini tunanaongelea sana watu tufanye meditation?
Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu
Ni wakati wa kujitambua (Jua ulikotoka)
[URL='https://www.jamiiforums.com/threads/kuna-siri-gani-kwenye-ulimwengu-wa-kiroho-ukilala-chali.803359/page-7']Kuna siri gani kwenye ulimwengu wa kiroho ukilala chali? | Page 7 ...
[/URL]


Mwana jf Mtambuzi ni mwana tahahajudi mkuu humu jukwaani. Wengine ni kina
mshana jr, MziziMkavu, Rakims na wengine wengi.

Karibuni tutafakari.

Pasco
 
Hongereni sana, alhamisi ya wiki hii nilifanya ile ya ku scan mwili aisee nilikua poa sana kwa siku mbili nilijisikia amani sana.
Mtambuzi aliwahi kuelezea sana kwenye mada yake.
Pia natoa shukrani kwenu mlio anzisha hili somo, na kulichambua Ki undani, Mshana, Pasco na wachangiaji wengine shukrani sana
Mimi nilikua mkristo wa mazoea, lakini baada ya kujifunza mediation kwa miaka mitatu bila mafanikio, hatimae mwaka huu nimepata mwalim na vitabu. Na kuelewa nguvu ya Mungu kwa namna ya pekee sana na upendo wa Mungu kwetu.
Vile binadam tuna nguvu ya kufanya mambo mengi ya maana, vile kichwa Cha binadam kinaweza kufikiri chanya.
Asanteni
 
Back
Top Bottom