Mapepo huvutwa na majina: walifululiza kuuwawa kina "Rose" sasa ni zamu ya kina "mariam" watakaofuata ni kina "Jesca"

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,408
Nawaambieni lipo tatizo, tena linafukuta sana, vyanzo vya mauaji ya Mme na mke vitaendelea, Wanaume Wanamaudhi lakini pia wanawake WANAKERA,
Hakuna mwanamme anaeoa ili aje auwe hayupo, lakini fukuto la ujeuri ndani ya nyumba mwisho Wa picha ndo tunashuhudia mauaji kila kukicha;
Tulisikia vifo vya kina rose, sasa imefika zamu ya kina Mariam, huko sumbawanga juz juz aliuawa Mariam, wiki iliyopita napo kanyongwa yule mwanakwaya chang'ombe mariam, huko mtwara kuna jamaa kachinja familia kisa ugomvi Wa mke wake Mariam, yaani ni shida.

Mimi nafikiri Jeshi lala polisi lianze kuwasikiliza wababa wanaonyanyaswa na wake zao, toeni ELIMU kwa wajumbe Wa kila mtaa ili kuripoti familia zote zenye migogoro, na wamama walioterekeza waume/familia zao polisi ianze kuwatia ndani.

Kuna baadhi ya majina ni kama yanamapepo hawasikii na wala hawaambiliki, Kama wake zenu wanamajina hayo wabadilisheni huenda itasaidia.
Hapo nyuma wamefululiza kuuwawa kina Rose (a.k.a muna), sasa ni zamu ya kina Mariam, nahisi watakaofuata ni kina Jesca;
Mwanamme akitaka adumu na wanawake wenye majina hayo ni either awe mcha Mungu kwelikweli au mcheukaji au awapuuzie!
Ni wana viburi halafu jeuri Tuwaombee
 
Mimi nilikuwa na mwanamke jina lake jesika, alikuwa jambo dogo tu ananuna mwezi mzima, yaani anavuta mdomo mwezi mzima, nikabwaga manyanga bahati nzuri hatukuzaa;
ungekuwa umezaa nae ungefanyaje?
 
SIDHANI KAMA NI BUSARA KU GENERALIZE MATUKIO YA WATU WACHACHE NA KUYAFANYA YA WOTE WANAOTUMIA MAJINA HAYO!!
Kwa namna moja au nyingine unawaharibia kina Mariam,Jessica wengineo ambao hata hawana hatia wala tabia hizo.Hayo ni mambo ya bahati mbaya tu
 
bahati mbaya lakini jaribu kujiuliza na kufuatilia kwanini majina yao yanavuma zaidi kwenye migogoro ya ndoa?
Mimi ninapoangalia pambano la ngumi huwa naangalia zaidi mapungufu ya anaepigwa kabla sijamsifia mpigaji;

Ambao huwa Wana generalize kwamba polic wanapenda rushw huwa wametumia kigezo gan? wakati wapo walokole?
 
Nawaambieni lipo tatizo, tena linafukuta sana, vyanzo vya mauaji ya Mme na mke vitaendelea, Wanaume Wanamaudhi lakini pia wanawake WANAKERA,
Hakuna mwanamme anaeoa ili aje auwe hayupo, lakini fukuto la ujeuri ndani ya nyumba mwisho Wa picha ndo tunashuhudia mauaji kila kukicha;
Tulisikia vifo vya kina rose, sasa imefika zamu ya kina Mariam, huko sumbawanga juz juz aliuawa Mariam, wiki iliyopita napo kanyongwa yule mwanakwaya chang'ombe mariam, huko mtwara kuna jamaa kachinja familia kisa ugomvi Wa mke wake Mariam, yaani ni shida.

Mimi nafikiri Jeshi lala polisi lianze kuwasikiliza wababa wanaonyanyaswa na wake zao, toeni ELIMU kwa wajumbe Wa kila mtaa ili kuripoti familia zote zenye migogoro, na wamama walioterekeza waume/familia zao polisi ianze kuwatia ndani.

Kuna baadhi ya majina ni kama yanamapepo hawasikii na wala hawaambiliki, Kama wake zenu wanamajina hayo wabadilisheni huenda itasaidia.
Hapo nyuma wamefululiza kuuwawa kina Rose (a.k.a muna), sasa ni zamu ya kina Mariam, nahisi watakaofuata ni kina Jesca;
Mwanamme akitaka adumu na wanawake wenye majina hayo ni either awe mcha Mungu kwelikweli au mcheukaji au awapuuzie!
Ni wana viburi halafu jeuri Tuwaombee
Haswa akina rose. Ni kama kila rose niliyekuwa nae huko nyuma alikuwa anashida. Viburi juu juu.. halaf sababu wanavutia basi wanajiamini sana. Hawaambiliki.
Mmoja ni singo mother sasa hiv.

Anyways siwez sema ni experience kwa wote. Wengine wanaweza kuwa tofauti.
Anyway ni Mungu tu aingilie kati
 
Nawaambieni lipo tatizo, tena linafukuta sana, vyanzo vya mauaji ya Mme na mke vitaendelea, Wanaume Wanamaudhi lakini pia wanawake WANAKERA,
Hakuna mwanamme anaeoa ili aje auwe hayupo, lakini fukuto la ujeuri ndani ya nyumba mwisho Wa picha ndo tunashuhudia mauaji kila kukicha;
Tulisikia vifo vya kina rose, sasa imefika zamu ya kina Mariam, huko sumbawanga juz juz aliuawa Mariam, wiki iliyopita napo kanyongwa yule mwanakwaya chang'ombe mariam, huko mtwara kuna jamaa kachinja familia kisa ugomvi Wa mke wake Mariam, yaani ni shida.

Mimi nafikiri Jeshi lala polisi lianze kuwasikiliza wababa wanaonyanyaswa na wake zao, toeni ELIMU kwa wajumbe Wa kila mtaa ili kuripoti familia zote zenye migogoro, na wamama walioterekeza waume/familia zao polisi ianze kuwatia ndani.

Kuna baadhi ya majina ni kama yanamapepo hawasikii na wala hawaambiliki, Kama wake zenu wanamajina hayo wabadilisheni huenda itasaidia.
Hapo nyuma wamefululiza kuuwawa kina Rose (a.k.a muna), sasa ni zamu ya kina Mariam, nahisi watakaofuata ni kina Jesca;
Mwanamme akitaka adumu na wanawake wenye majina hayo ni either awe mcha Mungu kwelikweli au mcheukaji au awapuuzie!
Ni wana viburi halafu jeuri Tuwaombee
Huu sasa uchokozi, ukitafutwa na babajesca utaona unaonewa.
 
Mleta thread, kichwa chako hakiko sawa, huenda 'dish lako linayumba'. wahi matibabu.
Acha hizo wewe John usimkasirikie mleta Uzi huu unajua huyu bwana alisikia wewe ulisema unateuga vichaa wenzako sasa inakuuma kutaja jina la jeska we mteue tu hata ukurugenzi wa mirembe sibitali atafaa tu
 
Hizi ni imani za kipumbavu sana. Kwani ukimuita mwanao obama unadhani atakuja kuwa rais wa Marekani?

Acheni imani za kijinga. Someni Neno la Mungu!
 
Back
Top Bottom