Maombi na Ushauri Bure kwa wote.

Gospel Preacher

JF-Expert Member
Jan 17, 2018
233
263
Bwana Yesu asifiwe /Asalaam aleykum ndugu zangu Watanzania na wasio Watanzania, napenda kuwa julisha kuwa, kwa uweza wa Mungu Mkuu aliyeziumba Mbingu na Nchi nimeanza Huduma ya maombi na ushauri kwa maswala ya kiroho bure kwa wote.
Jambo hili nimeamua kulifanya ili kukamilisha hatima yangu ya maisha katika kumtumikia Mungu na kuwasaidia watu kwa vile vitu ambavyo Mungu amewekeza kwangu,
Napenda kuwa taarifu kwa mtu yyte mwenye matatizo ya maswala ya kiroho ambayo anahisi anaweza kushauriwa au kuombewa usisite kunitafuta kwa muda wowote yaani masaa 24.

Pia kwa watu ambao hupata shida usiku na matatizo kama ;
1. Hofu ya kifo (pale unapotaka kulala-piga simu tuombe pamoja)
2. Hofu ya kushindwa kwa kila jambo unalotaka kufanya, mfano Biashara au miladi fulani
3. Kukabwa usiku na majinamizi
4. Kuingiliwa kimwili(Kinyume na maumbile au kawaida lakini na Jini mahaba)
5. Hofu na matatizo ya kulogwa
6. Kutua mikoba ya uganga uliyoachiwa
7. Magonjwa ya kutengenezewa,
8. Laana ya familia na matatizo yanayofanana kwenye familia.
9. Maombi ya kumsihi Roho Mtakatifu
10. Hitaji la kumpokea Yesu Kristo katika maisha yako na kuambiwa cha kufanya ili kuukulia wokovu.
11. Ndoto mbaya mfano, za kuota umekufa, kuota upo shule unafanya mitihani, kuota unakimbizwa, kuota unalia na damu zinakutoka, kung'atwa na mnyama ndotoni, kuota unakula nyama kwenye sherehe za usiku, n.k
12. Kukosa mtoto/matatizo ya uzazi
13. Uchumba na mahusiano.n.k

MUNGU HAKUUMBA ILI UTESEKE EE MWANADAMU MWENZANGU.

NB: MAOMBI HAYA HAYANA DINI HIVYO MTU YOYOTE ANARUHUSIWA NA MLANGOBWA KUOMBEWA UPO WAZI KWA YOYOTE.
....NINA TENDA KAZI KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH NA KWA UWEZA W ROHO MTAKATIFU.

Mawasiliano:

+255655112023
MAOMBI NI BURE. NAPATIKANA (DSM)

Mathayo 10:8-9

Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure. Msichukue dhahabu, wala fedha, wala mapesa mishipini mwenu;

Isaya 40:9

Wewe uuhubiriye Sayuni habari njema, Panda juu ya mlima mrefu; Wewe uuhubiriye Yerusalemu habari njema, Paza sauti kwa nguvu; Paza sauti yako, usiogope; Iambie miji ya Yuda, Tazameni, Mungu wenu.
 
mtumishi mi shida yangu ni PESA TU aisee
Pole pesa, siwezi kukusaidia maana Mungu amekupa akili ya kuitega na kuipata pesa, hilo lipo kwenye uweza wako ila kama kuna chanzo cha rohoni kinacho kuzuia usipenye kweny utele wa pesa hapo tutaomba, na tukimaliza unachukua hatua ya kuitafuta pesa, kwa kuanza na lile wazo ambalo Mungu atakupa, na kama huna mtaji natafuta njia za mwilininkabisa za kupata mtaji kumbuka Mungu hutumia watu kusaidia watu.....ipo atakae kuvusha
 
Umeombya wagp?had sas uwezoganiuliyonayo au yesu amerud? Hayoni manenotu kiogz huwezikumombeya mwanafunzi afaul nawakati hajisomey et umuombye afaulu nikituambacho hakiwezekan jarib kuwadaganya kwa kitu kigne ;umekuwa mgu wew had umuombeye MTU azaye?umeombeya wagap had sas ambapo walikuwa hawana watoto na wanao sas hiv??
 
Kuandika hujui sasa kuelewa alichoandika utaelewa vp, illiteracy wewe.
 
Bwana Yesu asifiwe /Asalaam aleykum ndugu zangu Watanzania na wasio Watanzania, napenda kuwa julisha kuwa, kwa uweza wa Mungu Mkuu aliyeziumba Mbingu na Nchi nimeanza Huduma ya maombi na ushauri kwa maswala ya kiroho bure kwa wote.
Jambo hili nimeamua kulifanya ili kukamilisha hatima yangu ya maisha katika kumtumikia Mungu na kuwasaidia watu kwa vile vitu ambavyo Mungu amewekeza kwangu,
Napenda kuwa taarifu kwa mtu yyte mwenye matatizo ya maswala ya kiroho ambayo anahisi anaweza kushauriwa au kuombewa usisite kunitafuta kwa muda wowote yaani masaa 24.

Pia kwa watu ambao hupata shida usiku na matatizo kama ;
1. Hofu ya kifo (pale unapotaka kulala-piga simu tuombe pamoja)
2. Hofu ya kushindwa kwa kila jambo unalotaka kufanya, mfano Biashara au miladi fulani
3. Kukabwa usiku na majinamizi
4. Kuingiliwa kimwili(Kinyume na maumbile au kawaida lakini na Jini mahaba)
5. Hofu na matatizo ya kulogwa
6. Kutua mikoba ya uganga uliyoachiwa
7. Magonjwa ya kutengenezewa,
8. Laana ya familia na matatizo yanayofanana kwenye familia.
9. Maombi ya kumsihi Roho Mtakatifu
10. Hitaji la kumpokea Yesu Kristo katika maisha yako na kuambiwa cha kufanya ili kuukulia wokovu.
11. Ndoto mbaya mfano, za kuota umekufa, kuota upo shule unafanya mitihani, kuota unakimbizwa, kuota unalia na damu zinakutoka, kung'atwa na mnyama ndotoni, kuota unakula nyama kwenye sherehe za usiku, n.k
12. Kukosa mtoto/matatizo ya uzazi
13. Uchumba na mahusiano.n.k

MUNGU HAKUUMBA ILI UTESEKE EE MWANADAMU MWENZANGU.

NB: MAOMBI HAYA HAYANA DINI HIVYO MTU YOYOTE ANARUHUSIWA NA MLANGOBWA KUOMBEWA UPO WAZI KWA YOYOTE.
....NINA TENDA KAZI KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH NA KWA UWEZA W ROHO MTAKATIFU.

Mawasiliano:

+255655112023
MAOMBI NI BURE. NAPATIKANA (DSM)

Mathayo 10:8-9

Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure. Msichukue dhahabu, wala fedha, wala mapesa mishipini mwenu;

Isaya 40:9

Wewe uuhubiriye Sayuni habari njema, Panda juu ya mlima mrefu; Wewe uuhubiriye Yerusalemu habari njema, Paza sauti kwa nguvu; Paza sauti yako, usiogope; Iambie miji ya Yuda, Tazameni, Mungu wenu.
Hofu ya kifo??Nana ambae hataonja mauti????dini zimekua nikutiana hofu
 
Umeombya wagp?had sas uwezoganiuliyonayo au yesu amerud? Hayoni manenotu kiogz huwezikumombeya mwanafunzi afaul nawakati hajisomey et umuombye afaulu nikituambacho hakiwezekan jarib kuwadaganya kwa kitu kigne ;umekuwa mgu wew had umuombeye MTU azaye?umeombeya wagap had sas ambapo walikuwa hawana watoto na wanao sas hiv??
Mkuu Hongera kwa uandishi huu!
 
Nimesema mimi natenda kazi kwa jina la Yesu Kristo na uweza wa Roho Mtakatifu, mkuu sisemi kama mm ni Mungu isipokuwa mm namuomba Mungu ili aweze kusaidia mm naomba anayetenda ni Mungu sio mimi. Asante.
 
Amina mtumishi.

Ila kuna utata kwenye bandiko lako.
Umesema unapatikana masaa 24...ina maana wewe hulali!?
Simu ni ndogo ki nokia ambacho hakina shida hususani kwa wale ambao wanalala alafu wanajikuta wanaamka usiku kwa hofu pengine ya ndoto au kukabwa, ili kuweza kuwasaidia kwa ushauri na kuomba rehema pamoja, ndugu amini kuna watu usiku wanapata shida sana ya usingizi kwa mambo kama hayo, wahusika wananielewa
 
Hofu ya kifo??Nana ambae hataonja mauti????dini zimekua nikutiana hofu
Kwa mwenye shida hiyo ananielewa, mm kabla sijaokoka zamani nilikuwa nikiingia kulala naogopa hata kama nitaamka mkuu usifanye mchezo nakwambia na mm nikaona ni kama somo Mungu ananifundisha kuwa wapo watu wa namna hiyo na pia upo uwezekano shetani akawa anamjaza mtu hofu ili tu aweze kuangamia na ndio maana neno USIOGOPE limeandikwa zaidi ya mara 360 kwenye Bible ikimaanisha kila siku neno usiogope linahusika.
 
Ukiogopa kufa basi usilale ,kulala nikukubaliana na kifo..
 
Nimesema mimi natenda kazi kwa jina la Yesu Kristo na uweza wa Roho Mtakatifu, mkuu sisemi kama mm ni Mungu isipokuwa mm namuomba Mungu ili aweze kusaidia mm naomba anayetenda ni Mungu sio mimi. Asante.
Achana naye huyo hata kuandika kwenyewe tu hajui.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom