Kero, changamoto, na vijamambo kwenye dala dala

Ntwa A. Katule

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
239
Reaction score
230
Habari za wikiendi. Tushare changamoto tunazokutana nazo sisi wasafiri wa dala dala za hapa mjini Dar es salaam.
 
Inategemea unatokea wap hapa dar ila ss tunaokaa huku madale tunapata mazoezi ya maana.unaamka saa kumi kamili kwa alarm,unajiandaa kwa nusu saa,unapanda bodaboda hadi tegeta,unakuja kupata daladala ishajaa toka bunju unajiminya hivyo hivyo mpaka makumbusho saa mbili.unasubiri ingine ya posta inakuja mnagombea,unapata siti au usimame,unafika morocco foleni inawalaza mpaka mnaota.ukifika job saa nne boss kanuna.aiseeee.nipeni dili nisije pata kesi ya kumtoa mtu meno
 
Safi mkuu. Yaani nimekusoma kweli. Na jioni wakati wa kurudi nina uhakika ni sama experience
 
Inategemea unatokea wap hapa dar ila ss tunaokaa huku madale tunapata mazoezi ya maana.unaamka saa kumi kamili kwa alarm,unajiandaa kwa nusu saa,unapanda bodaboda hadi tegeta,unakuja kupata daladala ishajaa toka bunju unajiminya hivyo hivyo mpaka makumbusho saa mbili.unasubiri ingine ya posta inakuja mnagombea,unapata siti au usimame,unafika morocco foleni inawalaza mpaka mnaota.ukifika job saa nne boss kanuna.aiseeee.nipeni dili nisije pata kesi ya kumtoa mtu meno
On average unatumia kiasi gani kutoka nyumbani mpaka Posta ukujumlisha hela ya boda boda?
 
Unakuta mtu kanyoosha mkono mikwapa imejaa nywele yeye hata hajali
 
Ukikaaa siti karibu na Masai ndo shughuli inakuwa pevu
 
Habari za wikiendi. Tushare changamoto tunazokutana nazo sisi wasafiri wa dala dala za hapa mjini Dar es salaam.
Ila kuna kero ingine ya umekaa kwenye siti anakuja mtu kukaa pembeni yako hata salamu hamna,kuna siku nilimzingua mtu akaenda kusimulia,alikuja mdada akakaa pembeni yangu hamna cha salamu wala nn yy yupo anachat,kumbe hajui anaposhuka kufika makonde kaniuliza bila salamu "hapa ni makonde?"nikamjibu bado.kufika lugalo anajiongelesha mwenyewe sijui ndoo hapa nikamjibu ndio.nahisi kajifunza kitu.
 
ha ha ha we hatari. Ni kweli ni vyema kumsalimia jirani yako na hata kuongea mawili matatu. Na pia inaweza ikawa mwanzo wa hata kufahamiana na kubadilishana pengine business cards
 
Back
Top Bottom