Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

kumekuwepo na mtindo wa haya makampuni kuwapa makampuni mengine yanaitwa outsource company kazi ya kuwatafutia wafanyakazi wa call centre. Awali yalipigwa marufuku lakini nayaona yanastawi kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwezi uliopita nilieka kifurushi Cha lite Cha 10000,mwezi huu nikaona nieke Cha 18000 ili nipate channel nyingi Zaid nashangaa imeongezeka azam sport na azam sport 2 Je ndio kawaida au nishaibiwa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
jamiiforums.com website worth and domain value is $ 2m
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajamvi salama. Naomba mwenye ujuzi kuhusu sheria ya insurance ya gari inapoisha inatakiwa ikatwe tena baada ya kuisha. Ina mda kdg baada ya kuisha kwa ajili ya kulipia nyingine? Naomba...
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Ni rahisi kuacha wanawake/umalaya kuliko kuacha pombe! Pombe ukishainywa ni kama ina mashetani. Pombe inatenganisha familia.Pombe hasara tupu. Kuacha pombe ni uhodari mkubwa sana. Waliocha...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ikawa mwisho wa miaka miwili mizima, Farao akaota ndoto, na tazama, amesimama kando ya mto. Na tazama, ng'ombe saba, wazuri wanono, walipanda kutoka mtoni, na wakajilisha manyasini. Na tazama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Niliwahi kupendelewa na mwl wangu wa somo la sayansi darasa la 6 mwaka 1978, alifanya hivyo ili mm kama mtt wa mwalimu nishike namba 1 darasani...ni kweli nilikua wa 1, nilikua mzuri sana ktk...
3 Reactions
4 Replies
807 Views
Ukiongelea kitovu, kuna watu wanaweza kushindwa kuelewa kwa sababu hawajawahi kusikia, na walio wahi kusikia wapo walio dhuriwa. Kitovu tunachokusudia ni kile kitovu cha mtoto mchanga, ambacho...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Kama heading inavyoeleza hapo Juu, Naona kama nimekua mzito sana kuelewa mambo, Ninaamini hapa nipo kwa ma GTs wa Jamii forums nitasaidiwa mengi na mwishowe naweza nikawa Mmoja wa ma great...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Redirect
Habari wana jamvi Nimeshangaa kampuni ya bia TBL kupeleka vifaa vya msaada vya kupimia kilevi kwa kamanda wa usalama barabarani, huu ni unafiki wa hali ya juu inamaana bia mtusambazie ninyi then...
2 Reactions
Replies
Views
Sisimizi ni kiumbe cha ajabu sana hapa duniani. Sisimizi hupenda sana kutembea kwenye makundi makundi. Sisimizi hutokea fasta sana ukiacha chakula / uchafu sehemu fulani. Hata ukiwa ghorofa ya...
3 Reactions
46 Replies
13K Views
Kuna neno zuri sana la Biblia linalosema ipo njia ionekanayo kuwa safi machoni pa mtu lakini mwishoni ina maangamivu. Walikuwepo mke na mume waliokaa muda mrefu bila kupata watoto, hivyo wakaamua...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu hata kama hainihusu, na sio mteja ila nimepita hizi stendi mara kadhaa hasa mida ya jioni nimegundua hayo. najiuliza sababu ni nini? Kumbe wapanda daladala nao wana matabaka ya ununuzi wa...
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Habarini mageat thinkers. Wataalamu wanashauri ni vema kabla ya kulala kuhakikisha unaandaa mpango wa kazi au kuaandaa mambo ambayo utafanya siku inayofuata, Napata ukakasi kwa mtu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Redirect
Jana nilipata mrejesho kutoka kwa wadau wangu wanaotumia njia hio kila siku. Wamesema flyover imesaidia sana. Na nimewaamini kwasababu kama ile foleni ingekuwa vile vile tungeshapata mapicha na...
5 Reactions
Replies
Views
Huu ni mtaa, unaitwa Jambulingam huko Chenai india. Hii barabara sio lami bali ni taka za plastiki , Hii barabara inapitwa na magari makubwa, imekumbwa na mafuriko, joto kali lkn hadi hii picha...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Redirect
Tunawapongeza wenzetu Ccm kwa uchaguzi huru na haki,ambao nchi zote zinapaswa kuja kujifunza.Hii ndio demokrasia ya kweli hongereni sanaaaaa. ----------------- Polisi kufanyiwa sherehe kwa kulinda...
4 Reactions
Replies
Views
*Beware of the Propaganda in the war between The West and China* _By Rev Walter Mwambazi_ Good afternoon comrades... I am going to comment on this African Chinese "debt trap" situation. We all...
1 Reactions
2 Replies
426 Views
Katika kuendelea kuupendezesha mji wa moshi, naona kuna dosari inaanza kujitokeza. Hii inatokana na watu wanaovuka barabara kuongezeka sehemu nyingi hivyo kusababisha kuwekwa zebra kila mahali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mnaolidharau Bara la Afrika na hadi Kuudharau Uafrika wenu endeleeni tu ila kama kuna Bara ambalo nina uhakika Mwenyezi Mungu amelibariki na amelipendelea katika mambo mengi basi ni hili letu la...
4 Reactions
58 Replies
5K Views
Back
Top Bottom