DC BABATI AWAKABIDHI VIJANA PIKI PIKI 11 ZA MKOPO NAFUU

John Walter

Member
Aug 14, 2017
64
62
Na John Walter-Babati
Katika jitihada za serikali kuendelea kumaliza wimbi la vijana wenye ukosefu wa ajira,Mkuu wa wilaya ya Babati Elizabeth Kitundu amekabidhi piki piki 11 kwa vijana 11 ikiwa ni mkopo wa masharti nafuu kutoka Mabadiliko Saccos ili kuwasaidia kuwanua kiuchumi ambapo kila siku atahitajika kurejesha shilingi 7,500.
 
Hongera sana DC....Na wengine wafanye kama ulivyo Fanya.
 
Mkuu wa wilaya ya Babati Elizabeth Kitundu amekabidhi piki piki 11 kwa vijana 11 ikiwa ni mkopo wa masharti nafuu kutoka Mabadiliko Saccos ili kuwasaidia kuwanua kiuchumi ambapo kila siku atahitajika kurejesha shilingi 7,500.
  • Kwa miaka mingapi?
  • Vijana 11 kati ya wangapi wapiopo?
 
Back
Top Bottom