Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Binadamu haturidhiki na kitu kimoja. Na tunapenda sana kubadili badili aina kadhaa… wakati mwingine utokako ni kuzuri kabisa kuliko huko uendako.
Cha ajabu unafanya kule , unafanya huku. Na immediately sana ukishamaliza unaanza kujilaumu sana na kuona wa kawaida sana. Hana jipya.
Kwanini huwa tunaona wanini baada tu ya kukojoa ? Nini siri yake ?
Naamini wachangiaji watakuwa wa kutosha…