Bendera ya rais tanzania, kila awamu inaweza kubadirisha rangi?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Wadau nimeifuatilia Bendera ya Rais wa Tanzania na kubaini kuwa Bendera hiyo ni toka Rais wa Awamu ya kwanza.Naomba kujua je Rais aliopo madarakani anaweza kuamua Bendera ya Rais atakayo itumia ktk utawala wake iwe tofauti na bendera ya mtangulizi wake kama wafanyavyo Kenya?
 
tusubiri vijana wa Lumumba na Ufipa.... watatoa majibu tofauti so utachagua upande unaokubaliana nao.
 
Wadau nimeifuatilia Bendera ya Rais wa Tanzania na kubaini kuwa Bendera hiyo ni toka Rais wa Awamu ya kwanza.Naomba kujua je Rais aliopo madarakani anaweza kuamua Bendera ya Rais atakayo itumia ktk utawala wake iwe tofauti na bendera ya mtangulizi wake kama wafanyavyo Kenya?
ili iweje,katiba umeisoma au ??uliza maswali ya msingi:
Kwa mfano.
1. Ukonga Waitar atatanhazwa mshindi saa ngap
2.Monduli CCM imeshinda kwa asilimi ngapi
3.Huko korogwe napo Ufipa imegaragazwa namna gani
ukiuloza maswali hayo weeken itakuwa imeenda salama kabisa
 
Kwako hayo ndio ya msingi kwangu chaguzi ni kichefuchefu mie hilo la bendera ndio la msingi
 
Back
Top Bottom