Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wimbo ndo huo hapo chini; Hauruhusiwi, hauruhusiwi, ewe dereva sikia maneno haya usiwe kiziwi, endesha gari ila usipige honi, hauruhusiwi, hauruhusiwi, hauruhusiwi kubonyeza kitufe cha honi...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Kwa watu wa umri wangu naamini wachache sana tumewahi kukiona kitabu hiki cha hekaya za Abunwasi nikawahi sikia kiliwahi zuiliwa miaka ya nyuma kisichapishwe je kwa wahenga huyu kiumbe Abunwasi...
9 Reactions
168 Replies
50K Views
Habari wana jamiiforums. Sisi wakazi wa jimbo la ukonga tunashukuru kufunguliwa kwa daraja la TAZARA. Kero kubwa iliyobakia kwa sasa ni foleni ya BABANA. Tunaomba kituo cha daladala kwa mabasi...
4 Reactions
193 Replies
23K Views
Kwema wadau? Ni muda sijaandika, nilikuwa nafunga Ndoa, kwa mliokosa Mwaliko jueni kuwa hamkuchanga au michango haikunifikia. Turudi kwenye mada: Kuna watu wanabeza mengi, ikiwemo Hospitali...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Redirect
Kufuatia agizo la mamlaka za elimu Afrika Kusini kutaka Kiswahili kifundishwe mashuleni nchini humo, naamini hii ni nafasi adhimu kwa vijana wetu wataalamu wa Kiswahili kuinyakua fursa hii haraka...
0 Reactions
Replies
Views
kwanza niseme wazi tu, Tofauti na torch Gari za bei mbaya haikamatwi NA traffic never; Gari Kali za million 300, 400 au 700 unaanzaje kuikamata kwa mfano? yaani trafic hata itokee dharula aipige...
11 Reactions
40 Replies
8K Views
Hapo ukiangalia kwa makini unaona JK amevaa saa mkono wa kulia na Kenyatta amevaa wa kushoto. Yupi yupo sahihi?
2 Reactions
73 Replies
47K Views
This is a Nigerian Evangelist, I was listening to him on you tube. He is condemning pastors who take seeds from their followers. He is saying if you want these poor people to havest what they...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Kwa kuzingatia vyanzo vyangu nyeti huyu ndugu shafii dauda anashikiliwa na jeshi la polisi tangu juma lililopita. Kuna uwezekano anaandaliwa kesi mbaya. Nitarudi hivi punde.
3 Reactions
61 Replies
11K Views
Niende moja kwa moja katika mada wapendwa wangu. Huwa nilikuwaga na msimamo yakuwa sitanunua gari zilizotumika Tanzania na mara zote nimekuwa nikiagiza mwenyewe kwani watanzania tunahulka fulani...
27 Reactions
213 Replies
30K Views
  • Redirect
Wandugu nimeona hii habari kwenye Mtandao nimeona bora niiweke hapa tuichambue,Mji wa Nairobi ni mji wa sita kwa kwa utajiri katika Afrika baada ya Durban, Cape Town, Cairo, Lagos and...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole amesema mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda hakupaswa kufanya sherehe na Polisi kwa sababu kuna mahali hali haikuwa shwari na wao...
0 Reactions
Replies
Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikiliwa mwanafunzi anayetuhumiwa kumuua mwenzake mwenye umri wa miaka kumi na tisa wote wakiwa wanasoma Shule ya Sekondari Mteule akituhumiwa kumchoma kisu...
6 Reactions
96 Replies
12K Views
  • Redirect
Yuston Emanuel (31) mkazi wa Ngara mkoani Kagera amehukumiwa kwenda jela miezi sita au kulipa faini ya Sh200, 000 kwa kosa la kutumia lugha ya dhihaka dhidi ya Rais John Magufuli. Hukumu hiyo...
0 Reactions
Replies
Views
UTANGULIZI Nianze Kwanza kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa Wananchi wote wa Mkoa wa Dar es Salaam hasa wale wa Jimbo la Uchaguzi la Ukonga kwa kufanya Uchaguzi ambao kwa kiasi fulani...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
  • Redirect
Ni ule ambao kila mwaka inatoa kuisaidia Tanzania kwa ajili ya mipango miwili ya uzazi wa mpango Kauli ya Rais John Magufuli kwamba watu wanaodhibiti uzazi ni “wavivu” imezidi kuzua mjadala...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Septemba 15, 2018 daraja la juu ‘flyover’ lililopo katika makutano ya Tazara lilifunguliwa na magari yakaanza kupita na uzinduzi rasmi unategemea kufanywa na Rais Magufuli mwezi ujao Mradi huu...
2 Reactions
Replies
Views
wakuu, hali ni mbaya sijui nikiwalaumu hawa watu nakosea au nikosahihi, 1. supervisor wangu: isey huyu jamaa ananibana mpaka nashindwa kupumia pamoja nimshkaji wangu ila duuh ka ananisnichi kwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari ya mchana wana Jamvi?pia nachukua furusa hii kuwapa pole Wale wote waliokumbwa na matatizo Mbalimbali,katika siku hii adhimu.nisiende mbali sana Wana Jf,kubwa nataka mni Saidie kudadavua...
1 Reactions
6 Replies
26K Views
Wakuu, kila nikijaribu kuweka namba yangu ya simu (TTCL) jibu naambiwa namba hiyo si sahihi. Najiuliza ili ujisajiri na Uber ni lazima uwe na Tigo tu kama ninavosikia tangazo moja la Tigo radioni!
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom