Kwanini Marais wengi na viongozi wakuu wa nchi na wake zao wanaishi mda mrefu?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Hii naanzia hapa Tz marais na viongozi wakuu wa nchi wastaafu na wake zao wote wapo hai...hata mzee wetu nyerere mke wako yuko hai...
Nchi km marekani baba yake bush yuko hai hadi Leo...nenda uingereza..
Hapo Kenya jirani mzee moi yupo.. .
Nipe mifamo BT tuambizane kwann wanadumu? Mzee mwinyi ana miaka 90+ BT ukimuona yuko fit ...
 
Kinachoua wengi wetu hasa huku 3rd world country ni stress za ugumu wa maisha na ukosefu wa tiba sahihi, Wao hili ni ndoto!
 
Hii naanzia hapa Tz marais na viongozi wakuu wa nchi wastaafu na wake zao wote wapo hai...hata mzee wetu nyerere mke wako yuko hai...
Nchi km marekani baba yake bush yuko hai hadi Leo...nenda uingereza..
Hapo Kenya jirani mzee moi yupo.. .
Nipe mifamo BT tuambizane kwann wanadumu? Mzee mwinyi ana miaka 90+ BT ukimuona yuko fit ...

Waliiweka vizuri sheria. Hawashtakiwi.
 
Ingawaje na wao wana stress especially katika vipindi vyao vya uongozi ila wana assurance ya quality healthcare throughout their lifetime pamoja na familia zao. Hawana stress za ada za watoto, michango ya harusi na sendoff, makato ya kodi, nyongeza ya mshahara, usalama na kadhalika .
 
Hiyo ni siri ya madakitari walio bora kuwa cheki afya bila madhara kutokea lishe na mazoezi
 
Nadhan inaonekana hivyo kwa sababu wapo wachache.... Pia wanajitahidi kuruka possibilities of death.
 
Ingawaje na wao wana stress especially katika vipindi vyao vya uongozi ila wana assurance ya quality healthcare throughout their lifetime pamoja na familia zao. Hawana stress za ada za watoto, michango ya harusi na sendoff, makato ya kodi, nyongeza ya mshahara, usalama na kadhalika .
Kwani Rais akistaafu anasomeshewa watoto wake?
 
Back
Top Bottom