Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo ni siku nyingine ya mapambano, na unahitaji kila tone la nishati (energy) na utulivu wa akili ili kufanikisha mipango yako. Lakini kumbuka, watu unaoruhusu wasogee karibu yako wanaweza kukupa...
24 Reactions
125 Replies
2K Views
Nimekuwa nikikumbana na changamoto kubwa katika usafiri wa Costa (mini bus) kati ya Masasi na Tunduru, umbali wa takribani kilomita 195. Badala ya kutoa huduma ya safari ya masafa marefu, Costa...
0 Reactions
2 Replies
106 Views
1 Timotheo 2:9. Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; SI KWA KUSUKA NYWELE, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani...
1 Reactions
9 Replies
179 Views
Sala zetu zinahitajika, nasikia kuna Wabongo wengi sana hapo Arabuni. Huyu Iran anafanya mambo ya ajabu sana hapo mashariki ya kati. Tuwaombee ndugu zetu.
1 Reactions
3 Replies
102 Views
Katika kijiji kimoja kaskazini mwa Nigeria, mwanamke aliyeitwa Suzanne alikumbana na jaribu kubwa la imani yake. Wakati wanamgambo wenye silaha waliposhambulia kijiji chao, walimpa chaguo gumu...
0 Reactions
2 Replies
100 Views
Ushawahi kuona mtoto mdogo wa miaka mitano, lakini akiongea, pointi anazotoa ni za mtu mzima wa miaka 60? wakati hata shule hajaanza? Hawa ndio wale watu wanasema roho zao zilishawahi kuishi...
2 Reactions
6 Replies
137 Views
Barua ya wazi kwa Sheikh Walid Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Sheikh Walid, kwanza napenda kukufikishia pole zangu za dhati kwa mitihani na changamoto ambazo umekutana nazo...
1 Reactions
3 Replies
147 Views
Katika siasa za kidunia haya maneno ni kawaida kuyasikia,hata hapa kwetu ambako uwezo wa watu waliopo kwenye nafasi za kuongoza ni mdogo kuliko wanaotakiwa kuongozwa,kifupi wanaoongoza hawawezi...
0 Reactions
1 Replies
70 Views
Yani unasema uongo ili kuulinda uongo unongezea uongo mwingine juu yake. Ukiulizwa kwanini ulidanganya unaongezea sababu za uongo tena.
9 Reactions
37 Replies
327 Views
Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 nchini Italia anakabiliwa na tuhuma za kufanya udanganyifu wa kipekee baada ya kudaiwa kujifanya kuwa mama yake aliyefariki kwa takribani miaka mitatu ili...
4 Reactions
6 Replies
163 Views
Bondia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Roméo "Bololo" Katompa, ameripotiwa kufariki dunia usiku wa kuamkia Julai 17, 2026 jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Kwa mujibu wa vyombo vya...
7 Reactions
25 Replies
767 Views
Kama una changamoto ya kuomba vyuo au mkopo tuwasiliane kwa 0623446608 Kumbuka:Si kwaajili ya fedha ni kwaajili ya kukusaidia IKIWA tofauti screen shot mawasiliano yetu na jina langu halisi...
2 Reactions
3 Replies
97 Views
Aise mimi kuna mmoja nilimzibua na nyundo ya mgongo, nimempa simu abadilishe kioo, cha ajabu akarudishia kioo kile kile kibovu kakifuta na maji flani hivi kikatulia freshi nikaondoka, baada ya...
8 Reactions
6 Replies
242 Views
Alooh hapa nilipo nahitaji ushauri nasaha kabla sijafanya maamuzi magumu. Ni laki 3 ila naiona kama milioni ukizingatia nipo kipindi kigumu nafsi haitaki kumuachia Mungu uuuuuwwwwwih!!!!
7 Reactions
27 Replies
338 Views
Hii kitu imenishinda kabisa. Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo. Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana...
60 Reactions
255 Replies
10K Views
Usije ukawa na mtoto ukakaa naye maeneo haya.... Huwa hawakui, hawawi wanaume. Mi hata nikipata rafiki akiwa amekulia hayo maeneo huwa namwona kuwa bado hajawa mwanaume kamili Sisi wanaume wa...
4 Reactions
15 Replies
247 Views
Salam wakuu. Tuko Mbezi Magufuli bus teminal, Abiria wametelekezwa na wahudumu wa basi la Al-said Dar-Morogoro, Tumeambiwa gari inakuja saa nane mchana, mpaka mda huu saa kumi na mbili jioni...
1 Reactions
8 Replies
169 Views
ilikua ni usiku mnene na majira ya baridi kali mno inayopuliza mpaka unaisikia inapenya kwenye mifupa tulikua wengi lakini kadiri mda ulivozidi kuyoyoma ndio wote walizidi kupukutika mmoja mmoja...
7 Reactions
20 Replies
350 Views
Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Watanzania, tumelala usingizi wa pono, tukipuuza, huku moto ukiteketeza mtaa baada ya mtaa. Tumetulia, tukijiaminisha kuwa maafa bado yako mbali, bila kujua...
19 Reactions
74 Replies
4K Views
Back
Top Bottom