Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
Msela mavi kutoka kaburu,karudishwa na dege la umoja kufika bongo kaona usela mavi dili🤣🤣🤣🤣🤣 Bamdogo na dingi yake wamemuweka sawa akaona sio powaa akaleta usela mavi wa South africa wa kuwapiga...
1 Reactions
– Replies
– Views
WANAUME CHATTERBOX; MWANAUME GANI UNAONGEA SANA KAMA MWANAMKE BHANA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Zamani kulikuwa na dhana nyingi potofu ndani ya jamii hasa kuwahusu wanawake. Na mpaka...
9 Reactions
33 Replies
432 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Kwanini NIDA inachukua Muda Mrefu Kutoa Vitambulisho Kwanini Isitumie Utaratibu wa Tume Ya Uchaguzi Mtu akikamilisha Taratibu Anaondoka Na kitambulisho Chake Siku Hiyo Hiyo Aliyojiandikisha, Na...
7 Reactions
29 Replies
456 Views
Kwa kifupi: Air Tz Mwanza hawatambui boarding pass za mtandaoni, wanakulazimisha upange tena foleni ya kaunta hata kama hauna mizigo. Full: Juzi nilikuwa nasafiri kutoka Mwanza na Air Tanzania...
2 Reactions
3 Replies
234 Views
Ni takribani miezi sita sasa H.polepole hajulikani kama yuko hai au amekufa Ana macho au hana Ana vidole au hana Ana kucha au hana Ana mpumbu au hana Kifupi amepotezwa na hakuna hata...
8 Reactions
42 Replies
696 Views
Nipo mkoani, mara nyingi huwa nahitaji vifaa vya nyumbani na ofisini kutoka sokoni kariakoo moja kwa moja. Sasa kuna ndugu nimekuwa nikimtumia kwa muda mrefu amepata safari na yupo nje ya mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
83 Views
Je, tunawezaje kuamini Biblia au Qur’an kama ukweli kamili ilhali ziliandikwa, zikakusanywa, na kutafsiriwa na wanadamu wasio wakamilifu?
2 Reactions
10 Replies
107 Views
Binti anayedai sheikh ni mzazi mwenzake hataki kuwa single mother, anataka mtoto wake kulelewa na baba yake, kosa lake liko wapi hadi ashambuliwe?! Mnaomshambulia huyu binti leteni ushahidi...
7 Reactions
80 Replies
886 Views
Kuna kipindi pesa ilikuwa inapotea sana, kuna mzee akaja akaniambia punguza huruma bwanamdogo huko kwenu ukoo una watu wangapi ww ikitokea kila kitu upo front kutoa hela Kila ndugu akipiga simu...
9 Reactions
34 Replies
487 Views
Hizi ofisi hasa kipindi hiki cha BiTozo zina hali mbaya sana watu hawafanyi kazi waliyotumwa. Unafika ofisini watu wanamajibu ya mkatomkato na nyondo juu wanajiona wanajuaaa kumbe hamna lolote...
11 Reactions
19 Replies
363 Views
Unakuta mtu badala ya kufuata kilichompeleka anakuwa mbeya kupitiliza mbaya zaidi anakuwa midfielder anawachonganisha. Haya sijatoa hela ya mchango vipi inakuhusu? Sawa navaa suruali 1 inahusu...
6 Reactions
17 Replies
265 Views
Ile sherehe kubwa, ile dhifa ya kiasili, ile pati ya aina yake, ile shughuli ya ukweli, inayojulikana kwa jina la Wakunyumba Tradional Party itakayowakutanisha Watanzania kutoka Kabila la Wangoni...
3 Reactions
11 Replies
153 Views
✍️Nguvu ya mwanamume haipimwi kwa ukubwa wa sauti au ubabe wa nje, bali inapimwa kwa ukomavu wa kihisia na jinsi anavyolinda utu wake. Ukijikuta unafanya mambo haya manne, mtaani watakusoma kama...
3 Reactions
12 Replies
310 Views
Juzi kati kuna mtaro ya maji machafu imekatika na kusababisha kudumbukia tayari za magari na hata watu wanaotembea na hata huleta harufu mbaya katika makazi na kuathiri afya za watu Tunaiomba...
1 Reactions
2 Replies
135 Views
Katika makala zangu zilizotangulia nilieleza kwamba kumbukumbu ya uhuru ni wakati wa kutafakari taifa letu lilipotoka, lilipo na tunapotaka liende. Katika makala hizo niliitathmini hali ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Anonymous
Habari wana jamvi, Sisi wakazi wa Sinza Mapambano, wanaoishi jirani na nyumbani kwa mama mzazi wa Wema Sepetu, tunapitia changamoto kubwa kutokana na kelele za muziki unaopigwa usiku kucha katika...
7 Reactions
14 Replies
483 Views
Shida siyo kudaiwa tu, shida ni unadaiwa na nani? Mimi roho yangu ni ndogo sana Hata nikidaiwa 50,000 tu siwezi kulala usingizi mpaka nilipe Nakosa amani kabisa Twende kwenye mada Madeni...
23 Reactions
338 Replies
4K Views
Back
Top Bottom