Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,617
- 33,471
Hello JF..
Mimi naamini Chadema ina struggle financially, hata kama hatutaki kudiscuss hili,bado haiondoi ukweli kuwa kuna tatizo mahali...
Ku fight na ma giants kama CCM ambako matajiri wanamwagia pesa tu kiholela ili tu kulinda interests zao kunahitaji mkakati...
Sijajua sana wanayofanya Chadema kuhusu mapato yao...ila binafsi nadhani wawe na long term plans za kuongeza kipato Chao bila kurely heavily kwenye michango ya watu.
Ninachofikiri ni Chadema kuwa na mkakati wa miaka mitano wa kupanua miradi yao. Kwanza wafanye whatever kuingiza pesa kama ni fundraising za marathon, fashion etc then ndani ya hio miaka mitano wawe na plan ya kubuni miradi mingine kutokana na hizo pesa kidogo wanazopata.
Namaanisha kuwe na income kutokana na sustanable projects. Yaani Chadema wawe na miradi mingine mingi yenye kuingiza pesa automatically kwa wakati wote kabla hata hawajafanya jambo lolote.
Mtasema hela inaenda kwenye operations?!' Ndio wajibane hio miaka mitano wakiwa na tumaini mambo yatakaa sawa baadae. Hata wale wanaochangia tone tone ni kwamba walijibana mahali.
Nawaomba hapo chini munisaidie kutaja miradi/projects zitakazoweza kuwaingizia Chadema wawe na sustainable income...
Wasalaam
Becky