Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mzee Omar Mahita amezungumza maisha halisi kabisa ya jeshi la polisi lilivyo sasa. Kuna lakujifunza kwa polisi wa sasa ============ Polisi wanachafuliwa na watu wasiokuwa waaminifu ndani ya jeshi...
0 Reactions
2 Replies
232 Views
Hamjambo! Hakuna ambaye alikuwa na mahusiano mazuri na Baba yake alafu siku mzee amedanja akubali kirahisi kutohudhuria mazishi ya mzee wake. Tena kwa nafasi kubwa aliyonayo ya Ayatolla. Iran...
8 Reactions
90 Replies
1K Views
Hellow JF. Naomba niseme uzee wa sasa ni ulemavu inaumiza sana. Inawezekana kwa sasa kwenye ujana tuna fanya kila aina ya mambo(Umalaya, kunywa pombe za aina zote, kula kila aina ya vyakula...
13 Reactions
68 Replies
902 Views
Kuna mambo mengine unaweza kulalamika ngekewa ya pesa inakupita kumbe umesahau hii mbinu. Pesa ni kama mvuto na sumaku ya kuvuta bahati na pesa nyengine. Unapoweka pesa mfukoni hakikisha...
18 Reactions
66 Replies
1K Views
Wadau wa utalii na watafutaji wote, ukweli mchungu ni kwamba kuwa na gari zuri la safari au kampuni iliyosajiliwa haikuhakikishii wateja. Watu wanaopiga pesa ndefu kwenye sekta hii hawana...
0 Reactions
4 Replies
106 Views
Tujaribu kuishi humu. Free Seran Free secretarybird Free adriz de mbusii Free ......
19 Reactions
173 Replies
2K Views
Kama una changamoto kama kusahau password, kusahau email nk tuwasiliane kwa 0792715343
1 Reactions
0 Replies
57 Views
Anonymous
Habari Mkuu naomba kuwasilisha kero kwenu leo hii. Mimi ni mkazi wa KIGAMBONI nadhani kwa sasa Kigamboni ina mbunge mpya anitwa somebody SANGA baada ya kifo cha DR. NDUNGULILE. Kuna kero ya...
1 Reactions
2 Replies
101 Views
Anonymous
Kero yetu ni uwepo wa dampo kubwa la takataka katika Kata ya Murubona, Wilaya Kasulu Mji, dampo hilo ni hatarishi kwa jamii inayozukwa na taka kwani ni chanzo kikubwa cha magojwa, lilianzishwa...
1 Reactions
1 Replies
86 Views
Anonymous
Barabara kipande cha vumbi Michese Dodoma ni kero kubwa na baada ya njia rasmi ya magari kufungwa na inayokusudiwa na wasafiri kutopewa umuhimu sisi wakazi wa Michese tunateseka saana usafiri...
1 Reactions
0 Replies
85 Views
*Roho chafu ya LEWIYATHANI(LEVIATHAN Spirit, *MAMBA wa kwenye maji Isaya 27:1 Mwenyezi-Mungu atautwaa upanga wake mkubwa, mkali na imara, na kuliadhibu dude Lewiyathani joka lirukalo na...
3 Reactions
8 Replies
743 Views
Habari Naomba kufahamu ni wapi naweza kupata Mkopo wa riba kwa dhamana ya kadi ya pikipiki,pikipiki ni namba F....iwe kwa mtu binafsi au taasisi
1 Reactions
8 Replies
151 Views
Wanajukwaa hamjambo Dunia Ina vitu vingi tunavyovitumia kama chakula na binaadamu tupo na mzio/aleji wa vitu na vyakula mbali mbali na huwa ukila chakula husika ambacho una mzio/aleji nacho uenda...
1 Reactions
0 Replies
100 Views
Ule mtandao pendwa wa google unaojua kila kitu leo asubuhi saa 12 umefungia simu zenye uwezo mdogo kuutumia asa vile viswaswadu venye operamin
14 Reactions
65 Replies
1K Views
Hivi mwendokasi wa ndege ikiwa angani ni km ngapi kwa saa? mbona kama inatembea taratibu sana kulinganisha na gari ni vile TU kwamba Haina sehemu rubani atashika breki kama gari,hakuna sehemu...
10 Reactions
58 Replies
928 Views
Kutana na Rojas Mathayo Msuya mkazi wa Kawe Dar es salaam ambae amebuni mtambo wa kuzalisha umeme unaotumia nguvu ya sumaku na good news ni kwamba mtambo huo wa umeme ukishafungwa kwenye nyumba...
33 Reactions
154 Replies
66K Views
Leo siku ya 10 ya safari ya Artemis II inatarajiwa kuwa moja ya siku hatari zaidi kwa wanaanga waliomo ndani ya kapsuli ya Orion. Baada ya siku kadhaa wakisafiri mbali na Dunia na kuizunguka njia...
16 Reactions
52 Replies
1K Views
Tukio la ajabu limetokea katika anga za juu na kuwaacha watu midomo wazi. Tukio gani hilo? Endelea kusoma... Wakati dunia nzima ikifuatilia safari ya Artemis II, rubani wa misheni hiyo, Victor...
11 Reactions
85 Replies
1K Views
Inawezekanaje watu wapange utaratibu ambao siyo rafiki kwa waajiriwa wapya? Iko hivi: Ukipangiwa ajira na sekretarieti ya ajira kwa maana ya kufaulu usaili, unapewa barua ya kuripoti kazini ndani...
19 Reactions
101 Replies
18K Views
Wana Jamvi Heshima yenu. Mimi nimekuwa nikipenda kutazama station za Television hasa hizi za kulipia za Ndani ya Nchi na za Nje ya Nchi nimegundua kuna utofauti mkubwa sana ,pia nikaja kuona...
6 Reactions
23 Replies
353 Views
Back
Top Bottom