a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 3,322
- 3,792
*Roho chafu ya LEWIYATHANI(LEVIATHAN Spirit, *MAMBA wa kwenye maji
Isaya 27:1 Mwenyezi-Mungu atautwaa upanga wake mkubwa, mkali na imara, na kuliadhibu dude Lewiyathani joka lirukalo na danganyifu; Mwenyezi-Mungu ataliua joka liishilo baharini
*AYUBU 45
Yeye hutazama kila kitu kilicho juu;Ni mfalme juu ya wote wenye kiburi
Hakuna mwanadamu wala malaika hata Mikaeli anayeweza kushindana naye isipokuwa Mungu mwenyewe peke yake
29 Marungu huhesabiwa kama mabua; Naye hucheka mshindo wa mkuki ukitupwa.
27 Yeye huona chuma kuwa kama nyasi, Na shaba kama mti uliooza
26 Mtu akimpiga kwa upanga, haumwingii; Wala fumo, wala mshale, wala mkuki wenye ncha.
21 Pumzi zake huwasha makaa, Na miali ya moto hutoka kinywani mwake.
19 Mienge iwakayo hutoka kinywani mwake, Na macheche ya moto huruka nje.
Je! Waweza wewe kumvua mamba kwa ndoana? Au, kuufunga ulimi wake kwa kamba?
2 Je! Waweza kutia kamba puani mwake? Au kutoboa taya yake kwa kulabu?
DALILI ZA MTU ALIYESHAMBULIWA NA ROHO hii chafu ya mamba LEWIYATHANI
1)KIBURI/KUJIKWEZA,KUJITUKUZA,KUJISIFU,KUJIGAMBA,KUJISHIBA KUJIKINAI MWENYEWE Hasa elimu ya dini Kiburi cha kiroho dini,KUJIHESABIA HAKI mwenyewe MAFARISAYO--na kiburi cha aina yoyote--maana ya kiburi KUJIONA wewe ni bora kuliko mwingine katika jambo lolote.
Ayubu kuna wakati alijihesabia haki sana nafsini mwake, hali iliyomfanya aone kama mateso yake hayana sababu ya msingi au ni ya udhalimu.
angeweza kuwa mnyenyekevu hata katika mateso kama BWANA wetu Yesu,au Stefano..au hata nabii ELISHA..Nabii Elisha aliugua ugonjwa mbaya uliosababisha kifo chake,(2 Wafalme 13:14-21)
Hata baada ya kufa na kuzikwa, nguvu za Mungu zilionekana kupitia mifupa yake; mtu aliyetupwa kwenye kaburi lake alifufuka mara tu alipogusa mifupa ya Elisha.
*Ayubu alitubu mbele za Mungu baada ya Mungu kuzungumza naye kutoka katika upepo wa tufani na kumweleza ukuu Wake na udogo wa mwanadamu.
Ayubu 42:5-6, Ayubu alikiri kwamba alikuwa amemhukumu Mungu kwa sababu ya mateso na shaka zake. Alisema:
Nilikuwa nimesikia habari zako, kwa kusikia kwa masikio; Bali sasa jicho langu linakuona. Kwa sababu hiyo najichukia nafsi yangu, na kutubu Katika mavumbi na majivu.
Baada ya toba hii na unyenyekevu wake, Mungu alimbariki Ayubu mara mbili ya utajiri wake wa awali na kumrejeshea afya yake.
KIBURI/MAJIVUNO iwe moyoni,nafsini, na *kukosa unyenyekevu ndio dalili ya kwanza
2)KUBADILISHA KUPINDISHA na KUGEUZA MANENO,MATENDO udanganyifu
katika mtindo wa kupindisha tasfiri ya maneno yaliyotamkwa au kitendo kilichofanywa na kuzua TAHARUKI,kutokuelewana ,kuvunja mahusiano ya watu kuwaganya na kutengeneza migongano na malumbano na kuwatenganisha watu na ndoa na maelewano.
Mfano unatamka maneno mazuri halafu roho hii chafu inayageuza geuza kabla hayajafika masikioni pa msikilizaji wako,na pindi yakofika anaelewa tofauti na ulichokimaanisha,anakuelewa vibaya ,anakutafsiri vibaya tofauti na lengo lako na makusudi yako na nia yako.
LENGO ni KUWATENGANISHA watu ,kuwafarakanisha ,kuwagombanisha
Lakini pia inaweza kukuletea tasfiri potofu iliyogeuzwa juu ya unavyotafsiri mambo machoni,masikioni ,moyoni,nafsini..ukatafsiri ubaya kwenye wema..
Kukuchanganya akili CONFUSION.
3)Kukutia roho ya WOGA* hofu ,kukufanya ujione dhaifu,kwa kukutisha mana anautisho ,na hakuna wa kuweza kupambana naye isipokuwa Mungu pekee.
ndiyo mana inatupasa tujinyenyekeze chini ya mkono hodar wa Mungu wenye nguvu,peke yetu hatuwezi bila Mungu,...hii vita sio yetu bali ni ya Mungu mwenyewe.
hili joka mithili ya mamba linafanya kazi kwa SIRI kwa kuvizia na kwa akili ,hata linapokuvamia unaweza usijue kama umevamiwa na ROHO ya LEWIYATHAN mamba ila utasababisha madhara na kukusababishia madhara kama mamba anavyowinda baharini kwa kinyemelea kwa usiri.
4)UTAOTA NDOTO ZA MAMBA* ..ukiona mamba ndotoni...wanakushambulia.
ni roho chafu yenye nguvu sana inayofanya kazi kwa siri,ni roho hatari sana na mbaya sana .
SALA YA KUOMBA
Mungu BABA
NATUBU LEO kwa dhambi yangu ya KIBURI,majivuno,kujihesabia haki,na kujitukuza mwenyewe nilikokufanya katika mawazo yangu,nafsini mwangu,kwa maneno na matendo yangu.
NATUBU kwa kushambuliwa na maroho ya KIBURI
Naomba unisaidie nitoke nosinaswe kwenye mtego wa KIBURI,majivuno,kuhukumu wengine,kunung'unika(manung'uniko) pale ambapo nilipopatwa na magumu,majaribu ,matatizo( N:B KOSA alilolifanya Ayubu)
FUKUZA sauti za KIBURI na MAJIVUNO katika mawazo yangu,..naomba nipe neema ya kuwa MNYENYEKEVU