Rais Samia na Makamu wake Dkt. Emmanuel Nchimbi wakishiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma, Julai 25, 2026...
Ninaomba kuwasilisha kero hii kwa mamlaka husika na wadau wa utoaji huduma za umma kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi wanaoomba usajili wa vyeti vya kuzaliwa kupitia Ofisi ya RITA katika...
Yn 9:25 SUV
[25] Basi yule mtu akajibu, Kwamba yeye ni mwenye dhambi sijui. Najua neno moja, kuwa mimi nalikuwa kipofu na sasa naona.
Inawezekana kwamba huna mambo mengi sana unayoyajua kuhusu...
Jambo lenye uhakika siku moja utakufa matatizo, changamoto zote zitapotea ukifa maan hakuna mtu atayerithi matatizo yako unapokufa na zenyewe zinakufa.
Chakushagaza watu kila siku wanalalamika...
Ugomvi au mgawanyiko kati ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na Sunni una mizizi ya kihistoria, kijamii na kisiasa ambayo ilianza mara tu baada ya kifo cha Mtume Muhammad mwaka 632 BK. Mgawanyiko...
Katika Uislamu, dhana inayofanana zaidi na "Mpinga Kristo" (Antichrist) wa Ukristo ni Al-Masih ad-Dajjal (المسيح الدجال), yaani "Masihi wa Uongo" au "Mdanganyifu Mkuu."
Kwa mujibu wa Hadithi za...
Habari wanaJF, naamini ni wazima
Nimefanikiwa kufungua online radio ambayo ni tzgospel japo sina studio wala sijafanikiwa kusajili lakini kituo kimekuwa na wasikilizaji wengi wanaosikiliza...
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA ATOA WITO KWA WANANCHI KUITUNZA MIRADI YA MAENDELEO
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2026, Ndg. Wazo Michael Mwang'onda, ametoa wito kwa...
SHIRIKA la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania (TRAMEPRO) limetoa tahadhari kwa wananchi kuhusu kuongezeka kwa vitendo vya utapeli wa mitandaoni vinavyotumia majina, picha na nembo za...
Kero zetu ni Wilaya Kusini - Unguja naomba nizungumzie hasa Paje ndiyo mahali naishi,
kero kubwa iliyopo hapa Wananchi hatuna sehemu za kutupa takataka zetu au huduma ya kulipia ya kuchukuliwa...
Bila kujua watanganyika sasa mtaitwa wote magaidi kama mlivyo wafanyia wajomba zake wale uhamusho.
Hii ni visasi na sio vya kusema anaficha ni kwamba anaonuesha wazi wazi kuwa kinacho fata ni...
Habari wanajamvi wenzangu.
Kuna mgogoro wa kazi ulifunguliwa na ndugu yangu CMA kanda ya Dsm. Mwamuzi amefanya vitendo vya makusudi vya upendeleo kwa mwajiri pia anapoteza muda makusudi mwingi...
Kwa jina hiyo nchi imenitoka ila ni kakisiwa ambacho hakana rasilimali yoyote ila kanategemea zamana ya pesa utakayoweka kwao wakupe passport.
Ukipata passport yao unaweza kwenda nchi nyingi free...
✅ VIGEZO VYA KUPATA CHETI CHA KUZALIWA
1-KADI YA CLINIC
2-PASPORT YA KUSAFIRIA
3-CHETI CHA DRS LA SABA
4-LIVING CERTIFICATE YA FORM FOUR
5-KITAMBULISHO CHA KUPIGIA KURA
6-KITAMBULISHO CHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.