Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mara ooh ndugu watanionaje, jamii itanizungumziaje, marafiki watanifikiriaje, Yani unakuwa mtu wa kuamua maisha ili kufurahisha wengine utafikkiri unayaishi kwa ajili yao. Yani hisia zinakuzidi...
3 Reactions
11 Replies
258 Views
KILA MTOTO WA MUNGU ANAYEMCHA MUNGU (ana ulinzi wa UKINGO/UKUTA kutoka kwa Mungu unaomzingira pande zote yeye pamoja na mali zake kama mtumishi wa Ayubu) Ayubu 1:10 Wewe hukumzingira kwa ukigo...
1 Reactions
9 Replies
492 Views
CHADEMA nataka niwape sababu mojawapo kwa nini CCM katika kipindi hiki hawatakubali kwa njia yeyote kuachia madaraka. CCM wanajua sana kwamba ndani ya miaka 10 ijayo, uchumi wa Tanzania unaweza...
2 Reactions
8 Replies
204 Views
Nini kimemkumba Lawrence Masha? Nimeshangaa sana kukutana na hii video ikizunguka mtandaoni eti yupo kwa huyu anayejiita Pastor, Kiboko ya Wachawi sijui. Naelewa kwenye maisha kuna kupanda na...
22 Reactions
113 Replies
11K Views
Mnatukanana kwa emojis na ID hewa za majina ya uongo😁
6 Reactions
27 Replies
421 Views
Haijalishi ana miaka 17 au 20 hongereni vijana kwa kuwa wazalendo, kuifanya serikali ijipatie mapato Na sijui ni ugumu wa maisha au stress jibu analo mlevi na hawezi kukwambia Oya weitra nipe...
5 Reactions
15 Replies
301 Views
Kwanza kabisa, ni muhimu niseme kwa upande wangu, uhusiano wangu na Mungu ni wa kipekee na unatokana na matendo yangu zaidi kuliko kujitolea kwa kanisa moja. nipo tofauti kidogo na watu wengi...
5 Reactions
22 Replies
970 Views
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nchimbi anadai kuwa anawaheshimu Wana harakati kwa uwezo wao wa kujenga hoja Amkumbuka dada yangu maria sarungi Asante Sana sisi ni...
6 Reactions
12 Replies
223 Views
My Take Sina hakika kama Tanzania tunajenga Barabara Kwa viwango vizuri kama hivi 👇
0 Reactions
2 Replies
78 Views
Tunaona uko ulaya kama spain,france nk. pia tuliona miaka michache uko usa mji flani uliungua je huo moto unatokana na nini na unanguvu kiasi gani mbona moto wakuwashwa au wa bomu hauna nguvu kama...
1 Reactions
5 Replies
85 Views
Mh makamu wa rais leo amezungumza mambo mengi sana mazuri ambayo watu wengi wamempongeza kwa kusema ukweli na kutetea wanyonge mfano Katiba mpya Kuishi bila hofu Umuhimu wa kuheshimu haki za...
1 Reactions
6 Replies
112 Views
Nimeona tunawachekea Wachina mno wanaingia TZ vibaya mno tena wapo wengi, Iko sio jambo la kushangaza mno, jambo la kushangaza je mamlaka zetu zinafahamu hata Chinese people ni wangapi hapa TZ? je...
7 Reactions
14 Replies
286 Views
Baada ya hoja iliyotolewa na Mwanakijiji cha Usagara A, Kata ya Usagara, Wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza kuwa kuna dampo kwenye makazi ya watu ambapo pia wanachoma taka na kuleta moshi...
0 Reactions
1 Replies
93 Views
Ukiwa Geita ukichimba mashimo matano ft 90 kwenda chini huku ukiyaweka umbali wa km 25 kutokea moja kwenda lingine kuna uwezekano wa mashimo mawili au zaidi kupata mzigo. Geita ndio mkoa pekee...
12 Reactions
30 Replies
468 Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. 24 Julai 2026: Kampuni ya Teknolojia na Mawasiliano ya Vodacom Tanzania Plc jana imetangaza faida ya baada ya kodi ya shilingi bilioni 47.3, kwa robo ya mwaka...
1 Reactions
4 Replies
210 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema taifa haliwezi kuwaza kitu pamoja katika kila kitu, ikiwa hivyo hao watakuwa maroboti siyo binadamu, na...
2 Reactions
11 Replies
328 Views
Naelewa mlikimbilia mwanza, rudini, tarime pamekucha. Njoo uwekeze ustaafu kwa raha na sio kupishana na kuku huko mashambani😁
1 Reactions
1 Replies
85 Views
Anae kijua vizuri kiwanja cha Manyossa Swimming pale Pugu Dampo afunguke hapa tafadhali. Kuhusu maafisa Utamu wanao kuja hapo ni NIPE NIKUPE au wale wanao taka " kutongozwa"?. I have heard ni...
8 Reactions
51 Replies
808 Views
  • Redirect
Umesema watanzania wapambanie katiba mpya, na ukaenda mbali zaidi kwa kusema Rais pia anaitaka katiba mpya...lakini mbona watu walio onyesha nia ya kuiipambania hiyo katiba mmewapa kesi za ugaidi...
0 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom