Wadau tafadhali mjisomee biblia takatifu kwenye kitabu cha Ufunuo wa Yohana mtakuta ushahidi kamili huko, muhimu ukiwa unasoma omba roho mtakatifu akuongoze. She's the last prophetess
Habari wadau.
Nipo jirani na shule ya msingi MIBURANI ambayo ipo wilaya ya temeke, naona watoto wanachangishwa sana michango ya mlinzi, umeme, maji na siku ingine ya walimu ya kujitolea.
Kila...
Kila binadamu, anachumba cha siri sana ni mara chache sana hufungua chumba hicho ila usiombe akifungue madhara yake ni makubwa.
Mwaka 2018, nilikuwa namiliki biashara ya kuuza pombe, Min...
Nimeona hizi tuhuma kwa Dr.Newton mhenga…🧑🏿⚕️ nikasema niwaulize wataalamu wa afya waliopo humu kama zina ukweli wowote. Millenials wengi tumetibiwa na hawa COs. Zamani zile madaktari walikua...
Ni rahisi kuwateka akili wa Tanzania ukiwaambia mambo ambayo masikio yao yanataka kusikia na ndioomaana Mitume na manabii uchwara wanafanikiwa sana wameshaijua code ya kuchezanayo
Wanganyika wanauliwa kwa haya mengi
Ugunduzi na Uchunguzi wa Awali
• Mradi wa madini adimu wa Ngualla uligunduliwa na Peak Resources mwezi Agosti 2010.
• Uchimbaji wa awali wa visima na...
Kila mwanadamu ana kitu anachokitarajia katika maisha
Kuna mambo ambayo bado hayajatimia, lakini moyo unaendelea kuamini kwamba ipo siku jambo fulani litatokea litatimia
Mawazo haya ipo siku...
Najiuliza, kwa nini wataalamu wetu wameshindwa kubadili ukali wa sabuni zisiweze kuumiza?
Najiuliza ina maana hawa wanasayansi wameshindwa kuiondoa hiyo kemikali inayoumiza machoni? Naomba...
Kauli tata za Nchimbi tangu awe makamu wa Rais zinaweza kuwa zinasukumwa na yafuatayo
1. Inawezekana amegundua hayuko kwenye mbio za urais 2030, kwamba tayari wenye chama wameshaamua ni kati ya...
Ni kwamba sisi consumers ndio tunapenda mambo ya uchawa, kelele kelele na watingisha matako au basi hatujaamua kufanya content zilizo concious na wakapata umaarufu
Au basi tu watengeneza maudhui...
Ni katika maadhimisho ya miaka 500 tangu kuanzishwa kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri. Waumini wote wa kanisa hili katika Dayosisi ya Mashariki na Pwani(DMP),watakusanyika kufanya ibada ya...
Pichani ni katika Kijiji cha Maposeni kilichopo Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma, ambapo ulitokea msiba wa kijana aliyetambulika kwa jina la Petro Joseph Pili. Msiba huo ulihusishwa na imani za...
Hakuna mtu atakayekuja kukuambia au kukufundisha ukweli. Ukweli unafahamika na unapatikana kupitia kufahamu. Kufahamu ukweli ndiyo ukweli wenyewe na hiyo ndiyo maana ya maana ya kufahamu kweli...
Nimepita Arusha wilaya ya Meru sehem inaitwa Maji ya Chai pale dampo mtaa wa masaleni. Kuna miti na majumba chini na usawa wa service line ile kubwa ya umeme, niwaulize Tanesco hizi nguzo za umeme...
Nawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni...
Aisee kama ni kweli itakuwaje
Allah is prophet Muhammad family deity, because Mohammed father name is Abdullah, which means servant of Allah or slave of Allah. And he was pagan worshipping Allah
MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA IRAMBA TAYARI KUMULIKA MIRADI YA MAENDELEO
Mwenge wa Uhuru umewasili katika Wilaya ya Iramba ukitokea Halmashauri ya Manspaa ya Singida na kupokelewa rasmi na Mkuu wa...
Wahamiaji wasiopungua 14 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Visiwa vya Comoro wamefariki dunia, huku wengine 22 wakiokolewa baada ya boti yao kuharibika karibu na Kisiwa cha Mafia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.