Salute.
Naomba niende kwenye maada mimi kama askari (mlinzi) wa kampuni binafsi wa Garda world nimeamua kutumia platform hii kuleta kero ya kiongozi wetu mkuu wa kampuni ya ulinzi Garda world...
Animals never let the weakest or least intelligent members lead their groups, unlike humans.
Man thinks he is smarter than animals because he built a house. But animals can survive in snow, heat...
Umepata ka laki mbili, au kaelfu hamsin unakaweka akiba utazani ndio mwisho wa utafutaji na haupati tena.
Hizo ni dalili za umaskini na wewe ni mvivu wa utafutaji hela.
Ukipata hela irudishe...
Kuishi bila presha zama hizi ni mtihani mzito. Kila nikiangalia, naona wenzangu wanatamba na maisha ya mikopo, magari, majumba, bata na mademu... mpaka wakati mwingine naanza kujiona mjinga kwa...
Nina jamaa angu Msukuma wa Shinyanga, jamaa ni fundi wa kuezeka majumba ni kweli ni fundi mkali tu kwenye mambo ya kupauwa majumba
Ishu ni hivi, jamaa hawezi kutulia kabsa na mkewe Yuko radhi...
Machawa wa Serikali ya CCM kumbe ni mijitu mibaya kiasi hiki! Msama ukimuona kama mtu mwema ila ni jizi la hatari mtapeli viwanja vya watu!
==============
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amelaani vikali kitendo cha kushambuliwa na kuuawa kwa mwalimu aliyejulikana kwa jina la Mwalimu Dimoso, ambaye alipoteza maisha akiwa...
WANAUME TUACHE UKATILI NA KIBURI KWA KUSEMA MTOTO AKIKUA ATANITAFUTA. WATIBELI TUNASEMA HATUTAKUTAFUTA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Mimi kama Mtibeli, mwanaume, Baba, na Kaka. Nafahamu...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepiga hatua nyingine kubwa katika utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi na Tiba Utalii (Medical Tourism), kufuatia kuwasili kwa jopo la madaktari bingwa...
Mimi ni mchuuzi ila ninaeajirika katika sekta zisizo za kielimu na kielimu pia, najiita hustler kwa maana kazi yoyote isiyotweza utu wangu napiga lengo kubwa ni kutoboa katika maisha kwa maana...
Kitengo cha vodacare whatsapp namba 0754100100 hakitoi msaada wa kuchat na mtoa huduma. Ukichat nayo inakuacha kwenye taarifa ya "Tafadhali subiri wakati nikikuunganisha kwa mtoa huduma, kwa...
TAKUKURU mmepigwa chenga na Alex Msama mpaka Leo na lile kengeza lake kweli?
==========
Naibu Mkuu wa TAKUKURU (M) Kinondoni Elizabeth Mokiwa kupitia kwa Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam ...
Inaonekana leo Julai 30 mfumo wa SelcomPesa una muskeli.
Kuna wengine mnapata changamoto hii?
Ni pale inapokuwa ushafika counter unatakiwa kulipia na mfumo ukakuumbua.
🤭
Watu wa ukumbi huu toka juzi naona tunapata gawio la YAS wanaita HALAL, hizi ni hela ambazo binafsi sijui zinatoka wapi wala kazi ipi nilifanya mpaka nikapokea malipo haya, kwa lugha rahisi hii ni...
Unakuta unamdai mtu pesa zako unamfuata anakwambia alifiwa au anaumwa au anauguza na ukimcheki huyo mtu ni mtumishi au mfanyabiashara sasa hapo inakuaje au ndio njia yenye hoja kunidhulumu?
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Tumaini Nagu, amezielekeza Timu za Usimamizi wa Huduma za Afya za Mikoa na Halmashauri kuimarisha...