Ikiwa leo ni maadhimisho siku ya Bloggers,
Binafsi Blogger ambaye namkubali ni Millard Ayo. Kabadilisha sana industry ya Blogging Tanzania na kuifanya iheshimike
Hata kwenye upande wa 'Maokoto'...
Unajiita msomi huna chochote ambacho jamii au taifa linaweza kujilingia na huo usomi wako ni kazi ya kujisifu tu nina degree nina stashahada sijui phd,
Ukiulizwa elimu yako inamchango gani...
NI CHAKULA GANI AMBACHO UNAKIPENDA SANA AU TUNDA UNALOPENDA
lakini kina kusumbua ya kinakudhuru kiafya au hukipendi tu
Binafsi sipendi parachichi aloo. nikila para chichi natapika muda...
Naandika ujumbe huu kwa masikitiko na kero kubwa kutokana na huduma duni inayotolewa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) hasa kwenye zoezi la uhakiki na masahihisho ya vyeti vya...
Tafsiri ya kiswahili ya kitabu How to win friends and influence people by Dale Carnegie.
KAMA UKITAKA KURINA ASALI USIPIGE TEKE MZINGA
Tarehe 7 mwezi wa tano mwaka 1931 kulikuwa na msako wa...
Wakuu naendelea na ile challenge yangu ya kuikimbiza milion2 kwa mwezi.
Leo ilikua ni kuchagua idea na kuanza kuichakata.
Nikaanza na mali hii hapa:
Picha : hapa kwangu kuna maeneo ya space...
UKIMYA WA MIAKA KUMI NA SAUTI YA LEO YA DKT AYUB RYOBA.
Adeladius Makwega – MBAGALA
Dkt. Ayub Ryoba, ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (SHIUTA) kuanzia mwaka 2016 hadi...
Ajali mbaya za basi la Isamilo linalofanya safari zake Mwanza-Dar kugongana uso kwa uso na basi la Libanika (Dar-Mwanza) iliyotokea alfajiri ya leo, kijiji cha Msembeta, kata ya Nala, wilaya ya...
Kitu gani kilikufanya usijisikie usitamani tena kuingia nyumba ya ibadani.
Mimi nina mwaka wa 3 niliacha kwenda kanisani baada ya kuona ninayajua mabaya ya waumini wengi kuliko mazuri yao...
Kuna Mkoa hauna stendi na haujafikiwa na upendo wa Samia? Tuutaje Ili mama afanye kweli.
Morogoro 🔥🔥🔥🔥👇👇
https://www.instagram.com/p/DMfFyieM9Rz/?igsh=amlrazdpZTE5eW9q
Nimeona mwalimu kafungwa maisha Kwa kosa la kuchapa mwanafunzi, huwezi kumsikia mkurugenzi, afsa elimu au mtu yoyote anaehusiana na mwalimu kufika mahabusu kumsalimia au kumtia moyo ukizingatia...
Kumchizisha ndugu yako awe ndondocha, kila siku unaporudi unajijua wewe ndio chanzo chake kuwa chizi
Kumuua mzazi wako, mtu aliekuleta duniani umemtoa duniani anatumika kama msukule.
Kumuua...
Kuna mambo yameshikiliwa na CCM na kufanya taifa kudidimia sababu moja wapo nayo ni mwenge.
Mwenge umekuwa kama una taasisi ambazo zipo ndani ya chama cha ccm.
Ndio maana katiba mpya...
Greetings from Karagwe.
On behalf of The Hospital Management, Hospital Board of Governors, and Karagwe Diocese, am happy to inform the public that this year(2012) Nyakahanga Designated...
Mabasi yaendayo kasi MOFAT route ya Mbagala Kivukoni ni machache watu ni wengi kiasi kwamba tunaopandia vituo vya katikati inakuwa changamoto sana kwetu, waongeze mabus wanatutesa sana.
Mstari Mkuu: Yohana 3:3 — "Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu."
Utangulizi
Watu wengi hujiuliza swali lile lile ambalo kijana tajiri alimwuliza...
Nawaza kwanini Kwenye maonesho yanayofanyika hapa nchini mfano Nane Nane au Sabasaba, kwanini vyombo vyetu vya ulinzi kama JWTZ au Polisi Nawao wasiwepo kuonesha vifaa na kutoa elimu mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.