Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Prof. Palamagamba John Kabudi, ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa hatua...
Ningependa kutoa kero yangu kuhusu hali ya vitambulisho vya Taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufutika kwa haraka mno, na hii ni kwa vitambulisho vinavyotolewa...
Mamlala husika kwanini vitambulisho vya nida mnavyotengeneza hufutika maandishi yake, shida ni nini?
Mbona vitambulisho kama leseni za udereva, kitambulisho cha mpiga kura havifutiki maandishi...
Wakuu kwema,
Umepita muda wa mwezi mmoja tangu nijiandikishe nida ili kupata kitambulisho cha Taifa, sijatumiwa sms na NIN na kawaida wanasema inachukua wiki 1 tu kutoa namba
Mwenye kujua jinsi...
Hii salamu imenishtua sana nilipokutana nayo asubuhi ya leo! Huyu rafiki yangu yeye ni Mholanzi kutokea huko bara la waliostaarabika, yan yeye hufanya shughuli katika moja ya taasisi za kimataifa...
Kutoka kwa Jongwe Misuti Taita
"Wanga kule na huku nawapa dole la kati"
Huu ni mstari kutoka kwenye wimbo wake unaoitwa Moto Chini.
Leo ameonekana kutoa ujumbe kwa mashabiki wote wanaopinga au...
Mara nyingi kabla ya kuajiriwa au wakati wa kuajiriwa kunakuwa na mafunzo ambayo mara nyingi tunapewa na miongoni mwa somo ambalo tunafundishwa ni namna y kujiandaa kustaafu wakati unaajiriwa.
Ni...
Tunaona huko UKRAIN, RUSSIA, BRAZIL, THAILAND wakiwa na mazao mengi ndani ya nchi yao hasa mchele, ngano basi huruhusu wateja wa kimataifa kwenda kununua maana wao tayari wamejitosheleza
Mgogoro unaendelea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Loliondo, Jimbo la Maasai Kaskazini, umeingia katika hatua mpya baada ya waumini kuendelea kufanya ibada nje...
Sitaki unafki
Kwanini silaha za moto zimilikiwe na vikundi vya watu wachache yaani majeshi (polisi na jwtz) na raia wachache.
Kila raia awe na silaa yake. Ulinzi wa nchi au raia na mali zao siyo...
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego, amesema Tanzania inapaswa kuongeza uzalishaji wa mafuta ya kula ili kupunguza utegemezi wa uagizaji kutoka nje na kuokoa matumizi ya fedha za kigeni...
Nkindikwa Nestory Mashaka maarufu Kijana Mzalendo kupitia wakili wake William Maduhu amefungua kesi ya Habeas Corpus akitaka afikishwe mahakamani au aachiliwe huru na Jeshi la Polisi...
Kwa nini wanajeshi hawajawahi onekana wamevaa camo za khaki kama zile za CHADEMA? Kweli zile baka baka za kijani zinafaa misituni. Lakini kiangazi nchi na karibu ukanda huu wote huwa wa khakhi. Ni...
Mfumo wa NaPA na NIDA imekuwa ikileta changamoto, hapo kabla ulikuwa ukijaza Namba ya NIDA ya mtu kwenye usasishaji wa taarifa za mkazi inaleta taarifa zake, ukianza na majina yake matatu na...
Nilitumiwa barua Julai 27 kuitwa kazini utumishi wa umma nafasi ya afisa usafishaji daraja la pili nimeripoti mapema na wao walisema ndani ya siku 14 niwe nimeripoti lakini niliwahi mapema kuepuka...
Moderater naomba weka kichwa Cha habari uzuri
Umeshawahi kupata stress kisa mitandao ya kijamii Kwa mda Gani? Unaacha simu-phone off
To much it's harmful
Kitu gani? Ukikizidisha hakina...
Kilimo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi kwa mamilioni ya Watanzania, lakini wakulima na wafanyabiashara wa mazao mara nyingi hukutana na hali ya kutotabirika. Leo bei ni nzuri, kesho imeshuka ghafla...
Kumekuwa na utaratibu usio rasmi wa kuwalazimisha vijana kujiunga na kushiriki mafunzo ya mgambo.
Vijana wanalazimishwa kuacha shughuli zao na kushiriki mafunzo ya mgambo.
Kwa wale watakao kataa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.