Nawaza kwanini Kwenye maonesho yanayofanyika hapa nchini mfano Nane Nane au Sabasaba, kwanini vyombo vyetu vya ulinzi kama JWTZ au Polisi Nawao wasiwepo kuonesha vifaa na kutoa elimu mbalimbali...
Kuchuchumaa wakati wa kujisaidia choo kunahusishwa na baadhi ya madhara/hasara, hasa kwa watu fulani:
Madhara yanayoweza kutokea:
Maumivu ya magoti na viungo – hasa kwa wazee au wenye matatizo...
Kama ikia hujui MUSEVENI AMESEMA NINI KUHUSU YESU wacha nikufahamishe;-
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida kuwahi kutokea duniani,
Rais wa UGANDA muheshimiwa YOWERI MUSEVENI,
Amewashangaa...
Habari,
Inaenda wiki sasa huduma za miamala bado hazijatengamaa kwenye swala la kutuma na kupokea hela, unaeza ukatuma hela ikaishia hewani, unaeza ukatumiwa hela ikaishia hewani.
Wengine ATM...
Kitendo cha magaidi kuua maelfu ya watu tarehe 29 mwezi October 2025 na hakuna gaidi hata mmoja aliyekamatwa ni chakutisha
Nawasihi CAF wafikirie nchi nyingine salama isiyo na ugaidi ili wapeleke...
Nimepata safari ya kikazi kwenda Zanzibar kisiwa Cha Pemba , safari yangu ilianzia Tanga na boti ya Zanzibar 3 safari ilikua ya lisaa ,nilicho jionea Pemba Ina miradi mingi sana ya serikali...
Ndani ya biblia kuna mtu anaitwa Samson
Ni jamaa ambaye tangu utoto wake hakuwahi kunyolewa nywele na ilikuwa ndio siri yake kubwa ya nguvu kubwa,
Tena za ajabu,
Kila jambo ambalo lilifanyika...
Marafiki wakikuita velvet waambie upo na famila beach kwa zena
Marafiki wakikuuta kitambaa cheupe waambie upo plaza unacheki movie na wadogo zako.
Malaya zako wakikuita zile pubs za tabata...
Ndani ya JamiiForums, mdau mmoja (anonymous) ameibua hoja mbili zinazofanana kuhusu usafiri wa umma:
• Uzi unaodai kuwa bajaji na daladala za Kimara–Matosa zinajipandishia nauli kiholela;
• Uzi...
Wakuu hili tatizo la jf kutofunguka liliwakumba jana jioni ilikuaje mpaka ukajua jf haipatikani mi nilikua nataka ku comment kwenye nyuzi flani ya baba mtakatifuu91 jinsi ku comment mara ghafla...
Watu wa Kinga'azi, Kata ya kwembe Wilaya ya Ubungo, kumekuwa na wimbo la vibaka hasa muda wa Alfajiri, wanadhuru sana watu wanaokwenda kazini na Wafanyabiashara.
Viongozi wa Serikali ya Mtaa...
Aisee Vituo vya kusubiria Mabasi ya Mwendokasi ya Kimara vingi ni vichafu sana kile cha pale DIT, pananuka harufu ya haja kubwa kabisa, zile njia ya flying over ya Kimara ndio hazifai.
Nanenane ni siku ya wakulima kuonyesha bidhaa zao za kilimo, ikiwemo teknolojia za kilimo ambazo zitawasaidia wakulima kuongeza ufanisi katika kilimo.
Lakini siku za hivi karibuni, maonyesho haya...
Wanajifanya hawajui kinachoendelea Instagram kuhusu trends za tiktok wanajifanya hawaitumii ni ya watoto mara wengine wanasema ni ya ma shoga...wakati kiuhalisia tikTok Shop ni moja ya majukwaa...
Maisha yamenifundisha jambo moja.
Mtoto asiyetembea husema mama yake ndiye mpishi bora.
Vivyo hivyo kwenye maisha. Ukikaa sehemu moja kwa muda mrefu, ukafanya kazi ile ile kwa miaka mingi...
Hii nafasi ya ku judge mikoani inaongoza sana.Ndio maana ngumu kutoboa au kufanikiwa kwa asilimia fulani.
Mikoani mtu anaweza kujionesha yeye ni nafasi gani,wewe utakuwa hivi au wakupangie hivi...
Nimewasilisha maombi ya Umeme TANESCO, Wilaya ya Ilala DSM, Kituo Chanika kutoka mwezi wa 5/2026, Surveyor akaja siku chache baadaye na nikaambiwa nisubiri siku 7 au 14 za kazi tangu alipofika...
Kuna mtandao wa Simu unaitwa Halotel..Huwa wanatoka huduma za Bando za vifurishi mbalimbali kupitia namba special zinazonza na +2553000 chakushangaza unanuna bando lakini hawakupi access...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.