Maonesho NaneNane

Maonesho NaneNane

General Overseer

New Member
Joined
Jan 14, 2026
Posts
4
Reaction score
1
Nawaza kwanini Kwenye maonesho yanayofanyika hapa nchini mfano Nane Nane au Sabasaba, kwanini vyombo vyetu vya ulinzi kama JWTZ au Polisi Nawao wasiwepo kuonesha vifaa na kutoa elimu mbalimbali kwa wananchi, Na sio kusubiri mpaka Siku ya Uhuru, Muungano au mapinduzi ndio tuwaone!.

Pia itajenga uzalendo kwa wananchi kupenda majeshi yetu na kuhamasisha vijana kujiunga kwenye taasisi hizi. Mfano tuone silaha za kisasa zinazotumiwa, na majeshi yetu vikioneshwa kama wanavyofanya taasisi zingine za Umma na Binafsi katika Maonesho haya.
 
Kwenye maonyesho ya kilimo unataka uonyeshwe silaha mkuu
BTW hujaona mabanda ya JKT wapo kila Kanda wale nao ni sehemu ya jeshi la wananch JWTZ
 
Kwenye maonyesho ya kilimo unataka uonyeshwe silaha mkuu
BTW hujaona mabanda ya JKT wapo kila Kanda wale nao ni sehemu ya jeshi la wananch JWTZ
Uwepo wa JKT ni sahihi lakn maonesho haya yanatembelewa na wananchi wengi mbona zipo Taasisi kwenye maonesho na hazihusiani na kilimo wanashiriki
 
Back
Top Bottom