Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Nimekuwa nikitumia huduma za Stendi ya Nzega Mkoani Tabora kwa muda mrefu kwa sababu shughuli zangu zinanifanya nisafiri mara kwa mara kutoka hapa Nzega kwenda maeneo mbalimbali. Kuingia ndani ya...
0 Reactions
1 Replies
67 Views
Anonymous
Kero yangu kubwa ni Bajaji na Daladala za Kimara kwenda Matosa wanapandisha na kushusha bei mfano asubuh Bajaj ni Shilingi 1,500 na usiku bei ni hiyohiyo ila mchana ni Shilingi 1,000 hiyo imekuwa...
0 Reactions
2 Replies
51 Views
Anonymous
Vyuo vya kati vya afya havina usimamizi wa kutosha kutoka taasisi husika kama NACTVET na mabaraza ya taaluma ikiwemo TNMC, MCT na Pharmacy Council. Miongozo ya elimu inaelekeza kuwa wanafunzi wa...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Hakuna namna ni mwendo wa kuumizana kama unaona mdaiwa wako analeta ujinga Kumfundisha adabu tu.
3 Reactions
25 Replies
513 Views
Inadaiwa hapo ni kwa Mwamposa kwenye mkesha usiosahaulika, watu wamenunua udongo kikombe sh. 10,000. Kwani hii imeandikwa kwenye kitabu gani cha Biblia wakuu?
24 Reactions
204 Replies
3K Views
"The last drop of urination doesn't obey the gravitational law until you shake it" what does it mean?
3 Reactions
13 Replies
122 Views
Anonymous
Ofisi za NIDA hapo Halmashauri ya Wilaya ya Karatu Arusha, wamekataa kabisa kutoa kadi/kitambulisho changu cha NIDA. Nipo Dar nimemtuma Mama yangu mzazi anifuatie ila wamemkatalia katu wanasema...
1 Reactions
0 Replies
63 Views
Katika vitu nilivyo shindwa kuviamini ni zile shuhuda zinazo tolewa, Ukikaa ukasoma between the line zile shuhuda kama kuna za kweli basi ni moja kati ya 1000 zinazo bakia ni za ku frame kuvutia...
13 Reactions
119 Replies
10K Views
Anonymous
Kero yangu kubwa ni magari yenye tlb ya Mbezi - M/Mmoja kupitia Maji Chumbi/Mabibo, ni kwanini hajafiki mwisho wa safari yake kama yalivyopangiwa! Yaani yakitoka Mbezi yanaishia Karume Kariakoo...
0 Reactions
0 Replies
39 Views
Habari za kazi ndugu zangu. Kuna kampuni mbalimbali zinazodai kutoa mikopo kupitia apps (applications), lakini matokeo yake zimekuwa zikilalamikiwa kwa kudhalilisha watu, kutoa vitisho, na kutoza...
4 Reactions
70 Replies
1K Views
Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imewataka watanzania wanaopeana zawadi kwa njia ya kutunzana pesa taslimu katika sherehe mbalimbali nchini, waelekeze utaratibu huo kwa njia mifumo ya malipo ya...
1 Reactions
13 Replies
232 Views
Mkurugenzi wa Biashara na Masoko wa Vodacom Tanzania Plc Brigita Shirima (katikati), Mkurugenzi wa Vodacom Business wa kampuni hiyo Nguvu Kamando (kulia), pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa M-Pesa...
0 Reactions
1 Replies
165 Views
Nilikuwa nashangaa kwanini sipati hovyo matatizo ya Moyo, sizeeki na naonekana Kijana na nina furaha kumbe tabia yangu ya kupenda Kulishika Kimahaba Wezere / Inye la Shemeji yenu kabla ya...
1 Reactions
6 Replies
86 Views
Nina hoja ya msingi ambayo wengi tunasikiaga tu msukule ila hatujawahi kuona msukule Je msukule upo kwelI, kuna watu wanachukuliwa misukule? Je kama upo mtu akichukuliwa msukule anaweza akarudi...
1 Reactions
4 Replies
150 Views
Hii ni stori nimeiskia ikizungumzwa kinyemela kwenye vijiwe vyetu vya kahawa Kariakoo. Sijui kama ni kweli au ni soga tu za wazee. ila nimeona niilete hapa tujadili. Habari nzuri na...
5 Reactions
32 Replies
453 Views
Nimesukumwa kuandika simulizi haya kwa uchungu na masikitiko makubwa baada ya kukumbana na mkasa wa kuibiwa vifaa vyangu vya kazi ndani ya treni mpya na ya kisasa ya mwendokasi (SGR), huku...
12 Reactions
39 Replies
812 Views
Siku hizi kutokana na mambo mengi uhitaji wa mikopo umeongezeka kwenye jamii. Hivi sasa pia kuna kampuni zinazokopesha mtandaoni kwa njia ya kijiditali, jambo ambalo ni zuri na linarahisisha...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
kesi ya Republic v. Respicius Patrick @ Mutazangira, Criminal Session Case No. 56 of 2018, High Court of Tanzania (Bukoba Registry) STORY KWA UFUPI Mshtakiwa, Respicius Patrick @ Mutazangira...
1 Reactions
7 Replies
164 Views
Mara nyingi nimesoma humu JF watu wakiubeza uwezo wa mtu makini sana hapa nchini, Prof. Mark Mwandosya, na wengi hawajui kwamba uandaaji na upangaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2000 - 2025 yeye...
13 Reactions
57 Replies
2K Views
Back
Top Bottom