Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkazi wa Kitongoji cha Ganana A, Kata ya Ganana, Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, Yasinta Amnaay (68), anadai eneo lake lenye ukubwa wa ekari moja na robo lilipimwa na kuuzwa bila kushirikishwa...
1 Reactions
2 Replies
98 Views
Nimemsikiliza huyu mwandishi WA habari kwenye moja ya mahojiano yake anasema kwa hali iliyofikia CCM kwa sasa haiwezi kufanya mageuzi kwa sababu sio tena chama cha kisiasa Imejiambatanisha na...
1 Reactions
0 Replies
47 Views
Wana-JamiiForums,Tunaishi kwenye kizazi cha "Angalia nini ninafanya." Kila mtu anataka kuonekana. Watu wanapost mafanikio, safari, hadi migogoro ya kifamilia. Lakini leo nataka tuongelee Usiri wa...
2 Reactions
4 Replies
162 Views
Kirusi... mara nyingi tunaposikia neno kirusi, tunafikiria maradhi Kirusi ni maambukizi ambayo huingia mwilini na kuanza kuharibu taratibu, chini kwa chini(ma Doctor kama nakosea nisahihisheni)...
10 Reactions
71 Replies
401 Views
Wiki hii imenibidi nipande daladala baada ya gari langu kupata hitilafu ndogo. Sasa katika safari hizo za kila siku, kuna jambo moja limenivutia sana. Karibu kila daladala niliyopanda, nilisikia...
4 Reactions
23 Replies
354 Views
Naomba tushare gharama za maeneo kulingana na
2 Reactions
2 Replies
111 Views
Mwanasiasa wa New Zealand, Jo Galer, amewashangaza na kuwaacha wengi midomo wazi baada ya kujiunga kwa njia ya mtandao (zoom) kwenye mkutano mzito wa kikazi akiwa bafuni, huku nguo zake za kufua...
1 Reactions
6 Replies
129 Views
Anonymous
Mimi ni mmoja wa wananchi ambao tumefuatilia tangazo la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuhusu uuzaji wa viwanja katika eneo la Malalua-Mlangalini, Halmashauri ya Wilaya ya Arusha...
2 Reactions
6 Replies
154 Views
Wewe usiyeamini Mungu kipi kilikufanya uamini hakuna Mungu..? Na wewe unaeamini Mungu yupo ni kipi kilikufanya uamini kuna Mungu? Toa mtazamo wako na sababu...!
12 Reactions
199 Replies
2K Views
Kuna mda mambo yanakusonga eeeh!! Ngoja nikupe dawa Kama wewe ni mwanaume mtafute mwanamke , kama wewe mwanamke mtafute mwanaume Tena umlipe , ila mtu ambaye asiyekujua alaf kuwe na watu pembeni...
10 Reactions
29 Replies
332 Views
Ni kwa wale wenye choice ya kuwa na watoto, sio wenye changamoto kama za uzazi unaogopa diapers au unangoja wajukuu moja kwa moja?
1 Reactions
3 Replies
82 Views
Nimekuwa nikukutana na picha za watumishi wa sherikali hasa wakiposti maeneo mbalimbali ya nchi ya vijijini na changamoto za miundombinu zilivyo Na kuna wengine wanafikia kusema huko mimi siwezi...
2 Reactions
12 Replies
186 Views
Habari wadau , poleni na majukumu !Nauliza kama naweza kupata fundi wa kudesign au kutengeneza madirisha ya Louver ni mtindo zamani kidogo ! Umekuja kufunikwa na hizi aluminium za kuslide...
2 Reactions
0 Replies
69 Views
Asilimia Zote 100 Kuwa Rais Wa Tanzania Na Nitawashangaa Mno Ninyi Wasomi Msipompigia Chapuo Na Kumchagua". Haya Si Maneno Yangu GENTAMYCINE Bali Nimenukuu Maneno Ya Mke Wa Waziri Wa Utalii Faraja...
0 Reactions
59 Replies
10K Views
NI declare kwamba nini ni Mjaluo Kwa asili kabisa, wazazi wote pande mbili, licha ya kuzaliwa na kukulia mkoa wa morogoro, mzee wangu alikua mtumishi wa serikali kazunguka sehemu nyingi Morogoro...
2 Reactions
3 Replies
259 Views
Mfano wengine hapa tulipo tumebakiza miaka 30 na kitu kufika 70 kama pumzi itakuwepo Kwa wale ambao tuna option za kurudi bush au kubaki mjini, je maisha yapi ni mazuri yenye nafuu ukifika 70?
7 Reactions
30 Replies
335 Views
Katika kipindi cha hivi karibuni, eneo la Tanganyika Peaks–Kawe limekuwa likihudumia shughuli mbalimbali kutokana na kufanyika kwa makongamano ya kidini, hususan ibada zinazoratibiwa na Kanisa la...
1 Reactions
2 Replies
102 Views
‎Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Prof. Palamagamba John Kabudi, ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa hatua...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Back
Top Bottom