Hivi bado huduma?NMB au ndio kama CRDB kipindi kile?
NMB au ndio kama CRDB kipindi kile?
Nmb juzi walirusha message kwa kila mtumiaji wa NMB kua wana marekebisho lakini sijui watz wana dhida gani aisee
Ndio iwe funzo la kutoweka mayai yote kwenye ndoo moja
Ureefu wa kambaNMB au ndio kama CRDB kipindi kile?
Hiyo ni danganya toto. Hakuna marekebisho wakati wa Mishahara. Hawataki watu watume TonetoneHawakukujuza kwa sms yakuwa wanamarekebisho?
NMB au ndio kama CRDB kipindi kile?
Nimeogopaaa ...wahudumu wapo nje kusema scan scan hapo hela hazitokiSio wote waliopata
Jumamosi nilitaka kutumia nmb mkononi huduma ikawa haipatikani nikasema niende katika tawi lao nalo halikufunguliwa
Kama wamepigwa kitu KIZITO watoe tamko tujue namna ya kupata pesa zetu kwa lazima