Niambie Tu
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 259
- 650
Kitu gani kilikufanya usijisikie usitamani tena kuingia nyumba ya ibadani.
Mimi nina mwaka wa 3 niliacha kwenda kanisani baada ya kuona ninayajua mabaya ya waumini wengi kuliko mazuri yao.
Kingine kufanya mapenzi sana na hawa wadada wa kwaya.
Kingine Kuwa mlevi mzinifu nikaona sasa sifai kwenda kanisani.
Niambie na wewe?