Sio utani wakuu
Mchungaji/Mtume MWAMPOSA nabii kama unaiona hii unisamehe kama umenielewa vibaya
Mimi mawazo yangu yapo tofauti kidogo nafikiria kuwa una madoctor nguli hapo kanisani Kwako na...
Tukio hili linarushwa mubashara luningani ITV. Viongozi wa serikali na vyama vya siasa wamehudhuria kwa wingi wakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Njombe Ole Sendeka!
Mzee huyu ameongeza mawe na kuyamwaga barabarani kwa madai kwamba barabara imepita kwenye kiwanja chake.
Cha kushangaza ni kwamba mbele kuna nafasi ambayo inaonekana ndiyo mpaka wa kiwanja...
Mgahawa Maarufu duniani Kwa ajili ya Wanyonge KFC unatarajia kufungua Tawi jipya Katavi (Mpanda Mjini) kutokana na mahitaji (demand) ya huduma zao.
P Wafipa hatimae kilio chenu kimesikika.
DAWASA Tabata Bima umoja road hatupati maji ya kutosha, yanatoka kidogo sana unaishia kujaza ndoo alafu yanakatika na yanatoka kwa muda mfupi mno, hii ni kero kubwa tunaishia kununua maji kila...
PROFESA mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Josephat Maghway (65) jana aliamua kufunga nadhiri za daima za maisha ya utawa katika Kanisa Katoliki la Salvatorian la Chuo Kikuu cha Jordan...
Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Nikitazama maisha wanayoishi matajiri nikalinganisha na maisha wanayoishi maskini, nashindwa kuona tofauti ya kimsingi iliyopo kati yao...
Mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi St. Louis wilaya ya Moshi mjini mkoani Kilimanjaro, aitwae Ian Macha (13), amefariki dunia, ikidaiwa kuwa ni baada kupigwa shoti wakati...
Kufuatia ukuaji wa teknolojia na mfumo wa kidigiti huduma nyingi zimetoka ama zimehama kutoka kufanyika analogi au manual na sasa kufanyika kidigiti.
Zipo faida nyingi za kura kupigwa kidigiti...
Waungwana nafikiri tumefichwa au mi sijui kuhusu mwenge au huu moto unauzungushwa karibu nchi nzima. Kwani unamaana gani kwa ustawi wa nchi maana inafika hatua watu wanakosa utu kwa binadamu...
Nimekuwa nikifuatilia hawa jamaa wawili lakini nimegundua tofauti kubwa kifursa.
inaonekana julias hayuko kwenye trend kama mwenzie Genzgiant.
Huyu Julias hapati more airtime kwa creator wengine...
Mara nyingi njaa huwa kitu kibaya sana,binadamu kutokutafakari afanyeje ili kuweza kupambana na mazingira yake pamoja na kujiendeleza in short kutokujitambua yeye ni nani!
Mlipuko wa watu wavivu...
Wakazi wa Lagos wana malalamiko makubwa baada ya jiji hilo kukabiiliwa na wimbi kubwa la kundi ombaomba wa pesa wanaolazimisha watu kuwapa pesa.
Raia mmoja wa Lagos ameandika ushuhuda wake...
Habari ndugu yangu, Kuna hizi meseji Kanitumia Mdogo Wangu Jana asubuhi, kitu kizuri nilikuwa online muda huo nilicho fanya niliscreenshort haraka na nikasevu na video kabisa, baada ya dakika tatu...
Wakuu habari za jioni hii
Huduma za kifedha za NMB hazipatikani kwasababu ya shida ya mtandao, hii ni kero sana haswa kwa sisi wajasiriamali ambao tunadeposit pesa kila siku kwaajili ya biashara.
Walevi Oyee, Wakeshaji Safi, CCM , CHADEMA, ACT CHAUMA OYEEE, Huku kwenye mabaa hamna mambo ya uchama.
Sasa walevi , wale wa kukesha kwenye bar, Pub nilitembea mikoa ya kanda ya ziwa huko...
Habar za siku ya nane nane,na kwa wanasimba wenzangu leo ndio Ile sikukuu yetu ya kipekee kabisa,tuwe proud kuwa wanasimba daima NGUVU MOJA.
Mara nyingi sana hapa jf utasikia kauli kama Watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.