Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kifo cha mwigizaji maarufu Chadwick Boseman mwaka 2020 kiliwashtua mamilioni ya mashabiki duniani kote. Boseman, aliyefahamika zaidi kwa nafasi yake ya T'Challa katika filamu ya Black Panther...
2 Reactions
1 Replies
117 Views
Wadau, kuna taarifa ambazo zimekuwa zikisikika kwamba baadhi ya wateja waliokuwa wanapitisha mizigo yao kupitia Bandari ya Dar es Salaam sasa wanaanza kutumia zaidi Bandari ya Tanga kutokana na...
1 Reactions
4 Replies
199 Views
Anonymous
Wachinjaji wa Manispaa ya Morogoro tunaambiwa mpaka tarehe 17.08.2026 Tunatakiwa kuhamisha shughuli zetu za uchinjai kwenye machinjio mpya iliyojengwa na Manispaa eneo la mawasiliano kata ya...
1 Reactions
0 Replies
76 Views
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, leo wameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano (MoU) wa mradi wa Tanga Regional Energy Hub, unaojumuisha ujenzi wa kiwanda...
0 Reactions
1 Replies
124 Views
Habari kwenu. Raisi wa Kenya William Ruto amewapa salamu wale wasioamini uwepo wa Mungu kwamba hawana utofauti na Wanyama. Najua hili linawagusa sana hasa wale wanaoishi nga'mbo au ugaibuni...
4 Reactions
97 Replies
652 Views
Ndiyo maana ,tuna -; 1. Baba wa Taifa. 2. Rais -amiri jeshi mkuu. 3. Mwenyekiti wa chama. 4. Mifumo kamili ya uendeshaji inayojitegemea (ndani ya nchi) 5.Raia kuwa huru (kujiendesha kibinafsi ili...
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Majirani zetu kama Kenya, Uganda, Zambia, DRC na nchi zingine zinazotuzunguka hawatuwezi kabisa kwenye mapishi. Wabongo kwa upishi ni hatari. Mara zote ninapokuwa nje ya Tanzania huwa ninapata...
4 Reactions
18 Replies
251 Views
Labda nitoe wazo binafsi, pale wakati wa kufanya maridhiano utakapowadia,basi vyama vyote vipewa barua maalumu za wito wa kushiriki maridhiano, barua hizo zipitishwe katika kila taasisi nyeti za...
2 Reactions
56 Replies
462 Views
Anonymous
Ndugu viongozi na wananchi wenzetu, tunaomba kuwasilisha kero kubwa ya matukio ya wizi yanayoendelea katika eneo la Machinjioni, Kata ya Tangini, Manispaa ya Kibaha. Katika kipindi cha hivi...
1 Reactions
6 Replies
113 Views
Miaka kadhaa iliyopita nilibahatika kutembelea eneo la viwanda vya ushonaji huko Huanghuagang karibu na Ouzhuang & Dongshankou jimboni Guangdong, nchini China nikajifunza mengi. Ila kikubwa zaidi...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakuu. Samahani, naomba mwenye uzoefu zaidi anaweza kunisaidia ni Router ya kampuni gani naweza kupata kwaajili ya biashara ya WiFi kwenye ofisi yangu ambayo mteja atakua analipia either kwa...
3 Reactions
3 Replies
239 Views
Mimi ni mmiliki wa gari binafsi na mkazi wa Manispaa ya Ubungo. Wiki mbili zilizopita nilifika maeneo ya Manispaa ya Kinondoni kwa gari langu, na tangu siku hiyo nimekuwa nikikuta kwenye mfumo wa...
1 Reactions
1 Replies
84 Views
Ukute bodaboda driver hiyo tukutuku ni yake hana self contrrol ya tamaa za kimwili na uaminifu + ustaarabu kupeeleka atengeneze uteja wa kudumu, aisee wanapiga na ni watu wanaofanya maendeleo...
7 Reactions
20 Replies
318 Views
Mwaka 2011 nilipata kazi na kuajiriwa as mwalimu serikalini hiyo ni baada ya kusota sana kutafta ajira ya fani yangu ya Sheria . Nilikula msoto sana kupata ajira ya sheria , no connection in...
10 Reactions
26 Replies
499 Views
Mara kadhaa nimekusikia unasema ati tuwe macho tusiruhusu watugawe. Ukweli ni kwamba wewe ndio unataka kutugawa na HATUKUTAKI. 1. October 29 ndugu zetu wamefyatuliwa risasi na kuuawa halafu...
4 Reactions
9 Replies
183 Views
Ukute hapo uyo mjuba kashapitishwa kituo na hajaliii wala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Chezea Raha Za DadaDala Wewe[emoji1751]Nibalaaaaa[emoji1751][emoji38][emoji38][emoji38]. Hao...
23 Reactions
190 Replies
42K Views
Simba acheni utoto..Huo uchawi mlioutumia Leo ni uchawi ulisha expire toka enzi za Pontyo wa Pilato...Ni version ya uchawi ulio kuwa unatumika wakati Nuhu bado yupo kwenye safina.. Eti muasisi...
3 Reactions
7 Replies
143 Views
Uganda ni typical banana Republic (Jamuhuri ya ndizi) isiyo na utawala wa Sheria (due process) inayoongozwa na familia moja baba akiwa Rais, mama waziri na mtoto wao mkuu wa majeshi mropokaji...
2 Reactions
2 Replies
105 Views
wazo hili limenijia baada ya safari yangu ya kusini mwa tanzanina kuona uwanda mkubwa usio na makazi ya watu wala hifadhi, ni pori kubwa maelfu ya heka yasio tumika kwa namna yoyote. Wazo lika...
9 Reactions
30 Replies
577 Views
Mimi sio mkazi wa Daslam lakini wenye mji wao kwenye mitandao ya kijamii wanasema hapo Masakuu Mbagala Kuna laana isiyo ya kawaida kitambaa cheupe irudi darasani kwanza. Wanasema watu wanakulana...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Back
Top Bottom