KERO Tabata Bima hatupati Maji ya Kutosha

KERO Tabata Bima hatupati Maji ya Kutosha

  • Thread starter Thread starter Anonymous (8fd9)
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
DAWASA Tabata Bima umoja road hatupati maji ya kutosha, yanatoka kidogo sana unaishia kujaza ndoo alafu yanakatika na yanatoka kwa muda mfupi mno, hii ni kero kubwa tunaishia kununua maji kila siku.

Tunaomba mtatue hii changamoto.
 
Nyie wa Tabata tuko kwenye mpango wa kuwafungia mabomba ya bia badala ya maji .. Tafadhali kua mvumilivu wakati mradi ukiendelea
 
Back
Top Bottom