Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salaam Wandugu, Kuna jambo kuhusu AI contents naliona kwa upande wangu binafsi kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kuzikwepa, nitaweka mifano; Nikiwa naperuzi Mitandao ya kijamii ikatokea...
4 Reactions
30 Replies
371 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo Tanga, imemwachia huru Halima Gidioni baada ya kubaini kuwa alimsababisha kifo mpenzi wake, Christopher Charles, akiwa anajilinda dhidi ya tishio la maisha...
5 Reactions
73 Replies
697 Views
Baada ya hoja ya Mdau kuhusu taa za kuongozea magari barabarani katika mitaa tofauti Mkoani Katavi kuwa zimeharibika zaidi ya miezi mitatu na kuwa hatarishi kwa watumiaji na vyombo vyao, hatimaye...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Dodoma: Serikali inatarajiwa kuanza ujenzi wa kiwanda cha mbolea hai katika Kijiji cha Nyamatara, Misungwi, Mkoa wa Mwanza, kwa lengo la kuongeza upatikanaji wa mbolea kwa wakulima wa pamba na...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameziagiza mamla zinazohusika na uratibu wa mabasi hayo, kuhakikisha zinaongeza idadi ya mabasi katika maeneo ambayo yanauhitaji...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Anonymous (14d1)
Hivi vitisho kwa watumishi mpaka lini? Kuna shida gani kwanini Watumishi walazimishwe kuhudhuria matukio ya kiserikali bila ridhaa yao.
3 Reactions
9 Replies
139 Views
Humu jf Kuna watu wana roho ngumu na mbaya sija pata kuona eti hadi I'd za kike, dah. Kipindi Fulani nilitukanana na jamaa humu, Kuna mtu alitaka msaada, jamaa akaanza kumita tapeli nikamvaa...
8 Reactions
15 Replies
390 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Je, akili au ufahamu (consciousness) wa binadamu unatoka wapi ndani ya mwili? Niko hapa kujifunza Zaidi.
8 Reactions
65 Replies
751 Views
ANZA KUWA NA MTETEMO⚡ NDANI YAKO KISHA VUTA KITU KUJA KWAKO... 🧲 DOGOLI KINYAMKELA (Phd) (The Law of Vibration vs The Law of Attraction) Katika safari ya maisha na elimu za siri...
7 Reactions
7 Replies
331 Views
Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 26 anayeitwa Leon Gillespie alikamatwa kwa kuvaa vazi la 'Grim Reaper' na kusimama kwenye paa la Hospitali ya Ysbyty Glan Clwyd huko Wales. Baada ya mahojiano...
20 Reactions
37 Replies
863 Views
Wasalam ndugu zangu..... Kibaya zaidi Kampuni ya kigeni ikimaliza kuchimba inafunga na kuondoka, Itatuachia mashimo + kemikali + ajira zilizopotea. Kiuchumi tunaita Resource Curse laana ya...
3 Reactions
1 Replies
398 Views
Ardhi ya Tanganyika haitazamwi tu kama eneo la kijiografia, bali kama madhabahu takatifu iliyowekewa wakfu kiroho. Tainsi ya kupigania uhuru na awamu za uongozi wa nchi, utulivu na amani ya...
5 Reactions
15 Replies
334 Views
Wana Jamii From! Bila yakupoteza muda naomba kufahamu jambo moja zito ambalo kwa uelewa wangu nimeshindwa lipatia majibu! Hivi inawezekana vipi Mtumishi wa Mungu Padre awe mwanajeshi tena...
44 Reactions
460 Replies
60K Views
Salaam wakubwa.Ushauri unaombwa kwa mwalimu wa tgts E ambaye nina bachelor ya Education in Adult Education and community development. Kwanza naomba kujua iwapo bachelor hii inakubali...
2 Reactions
2 Replies
77 Views
Niseme tu mimi ni single father wa binti mmoja , japo nilisha sema nawakiume mkubwa ila ni stori ndefu mpaka kufanya maamuzi ya kubaki na binti yangu tu. Binti yangu nilianza kukaa nae alipo...
39 Reactions
213 Replies
2K Views
Hii hali inaanza kutisha. Siku hizi unakutana na mtu, hasa mdada mrembo, unampa marks zote. Lakini akitabasamu unakuta ana pengo au meno yana matatizo yanayoonekana wazi. Hii inanifanya niamini...
3 Reactions
16 Replies
238 Views
Ni msingapore jamaa ana miaka 60 lakini muonekano wake ni WA miaka 30, jamaa kushangaza ulimwengu jinsi anavo jitunza
8 Reactions
35 Replies
480 Views
Guys kuna madam ni single mum mtaani anafanya kazi shirika flani. Huyu dada ni wale masingo mum waliotulia kivyao, sasa mazoea hapa na pale nikapita nae hadi sasa mwaka wa 3. Malavidavi ananipa...
12 Reactions
63 Replies
717 Views
Hivi karibuni ameibuka mtu mmoja nchini Kenya anayefahamika kama Geoffrey Mosiria. Huyu ni kiongozi wa Serikali ya Kaunti ya Nairobi ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na namna...
1 Reactions
10 Replies
203 Views
Back
Top Bottom