Guys kuna madam ni single mum mtaani anafanya kazi shirika flani. Huyu dada ni wale masingo mum waliotulia kivyao, sasa mazoea hapa na pale nikapita nae hadi sasa mwaka wa 3.
Malavidavi ananipa...
Hivi karibuni ameibuka mtu mmoja nchini Kenya anayefahamika kama Geoffrey Mosiria. Huyu ni kiongozi wa Serikali ya Kaunti ya Nairobi ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na namna...
Utasikia madereva wote wasio na vigezo warudi shule
Au ni marafuku dereva boda kupakia abiria wawili
Hapo wiki za kwanza hamsha hamsha lake utatamani ukimbie nchi polisi kila kona watu...
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amewasili jijini Dar kwa ziara rasmi ya siku mbili kuanzia tarehe 5-6 Agosti 2026, kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Niulize swali.
Ni marafiki wangapi wa zamani uliokuwa unaamini hamtakuja kuachana, lakini leo hii hata salamu hampeani? Kabla hujawaona wabaya, hebu fikiria jambo moja. Inawezekana hawajakusahau...
1. Uhusiano wa CCM na CHADEMA kama Picha ya Mapambano ya Kufa na Kupona
Uhasama wa kisiasa kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umefikia hatua ambapo...
Mufti mkuu wa Tanzania Sheikh Zuber bin Ally amejikuta katika hali ya aibu
Ni baada ya wageni waalikwa katika harusi ya mwanaye kuanza kuondoka baada ya mpishi na waandaazi kuchelewasha chakula...
Man Lee Hee ambaye anadai yeye ni Yesu aliyekuja kwa mara ya pili ametiwa mahabusu kuanzia mwezi wa sita kwa makosa ya kuharibu uchaguzi wa rais na kwa kosa la kuwaandikisha waumini wake zaidi ya...
Katika pitapita zangu mjini hapa, nimegundua kuwa kuna kero moja inayofumbiwa macho na Manispaa ya Moshi Mjini, masoko ya hapa Moshi mjini, hususani soko la M'buyuni na Soko la Manyema, yana...
Kuna mradi wa Usalama Barabarani unaitwa SMART TRAFFIC MANAGEMENT ambao unahusu kufunga Camera za usalama kwenye barabara kuu zote za Tanzania. Lengo ni kupunguza ajali na makosa yote ya usalama...
Swali: mbona watu husahau umuhimu wa watu na kuvipa vitu umuhimu mpaka waafikiapo mwisho wa safari?
Watu wengi wakifika mwisho wa maisha hasa wazee.. Huwa na tabia flani hivi za kuthamini sana...
Siku moja tulikuwa katika kikao chenye wajumbe kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya shughuli iliyokuwa irushwe na vyombo vya habari. Mapendekezo yakaanza kutolewa kuhusu vyombo vya habari...
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa wameelezwa kuwa watanufaika na Shilingi Bilioni 1.2 zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa ajili ya...
Barabara ya Lemara Kati, Kata ya Lemara Kati, Jiji la Arusha pamoja na maeneo ya Njiro karibu na Fiber Board imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu ya barabara, inaonekana kama tupo kijijini...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kuimarisha ushirikiano na Taasisi ya Africa50 pamoja na wanahisa wengine ili kuharakisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati...
Kuna msemo unaosemwa sana baada ya mtu kufanikiwa: "Yule alianza tu kama utani." Lakini mara nyingi huo si ukweli. Ukweli ni kwamba aliyeanza ndiye anayejua uzito wa dhamira aliyokuwa nayo tangu...
Kashaona anataka wafuwasi.Alicho fanya umri wake na mafundisho na mambo yake anahisi kufanya hivi kutampa kufika 2030.
Kuna mambo yatageuka kesho mje kusema tuliona wakati mlikuwepo.
Hivi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.