Lunovar
Member
- Mar 26, 2022
- 11
- 31
Waungwana nafikiri tumefichwa au mi sijui kuhusu mwenge au huu moto unauzungushwa karibu nchi nzima. Kwani unamaana gani kwa ustawi wa nchi maana inafika hatua watu wanakosa utu kwa binadamu wenzao.
Nimeona clip moja inayosambaa wale askari walivyomfanyia mwananchi kile kitendo kisa tu mwenge.
Gharama kubwa inatumika katika kufanikisha hili jambo. Kwani mdau unafahamu nini kuhusu huu moto utujuze