Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naombeni Ushauri Nipo Singida,Kama Mvua zitakuwa ni nyingi naweza kupanda zao gani nipo wilaya ya Ikungi
4 Reactions
34 Replies
312 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa wito kwa madereva kufuata sheria na kanuni za usalama barabarani baada ya kushughulikia mashauri ya madereva waliowasilisha malalamiko...
1 Reactions
0 Replies
66 Views
Wakuu, nchi hii imefika mahali ubepari unazidi kutawala sana. Hivi karibuni tumemsikia Mkuu wa Wilaya ya Temeke akitoa kauli ya dharau kubwa kuwa "bandari haihami, lakini binadamu tunaweza...
16 Reactions
85 Replies
1K Views
Nilikuwa na mke wa ndoa tukakubaliana tuachane kipindi sina kitu, ila alivyo ona mimi sio fala akanidanganya tuachane tu ila ndoa tusivunje🤔 Eti kigezo kuwa yeye kaajiriwa nitatumia bima...
12 Reactions
59 Replies
550 Views
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza mpango wa kuondoa matumizi ya kadi za kukwangua za muda wa maongezi ya simu na kuhamia katika mfumo wa kidijitali wa kuongeza salio, ikiwa ni...
0 Reactions
1 Replies
97 Views
Wanabodi habari..... Tumekua tukilalamika sana lakini hatusikilizwi juu ya upataji wa tiket za SGR... mfano mzuri ni lalamiko la Afande na ASKOFU Fulani hivi... toka jana najaribu kukata tiketi...
12 Reactions
21 Replies
351 Views
✅Serikali yakusudia kukamata fursa uwekezaji barani Ulaya. ✅Ndio suluhisho la kiutafiti ajira za staha kwa Watanzania. ✅Ni wakati ulimwengu ukifuatilia agenda za Dunia Tanzania.
0 Reactions
2 Replies
30 Views
Nipo mapumziko mkoani Tabora wakuu, tetemeko ndio kwanza limemalizika kupita hapa mkoani Tabora. Vipi huko kwenu hali ipoje, na hakuna madhara..? Pia soma: Tetemeko kali la Ardhi latikisa Mkoa...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Nipo mitaa ya 88 mji kasoro bahari mida hii 12:31 - 12:32 Pm limepita tetemeko la ardhi japo kipimo chake hakijajulikana, labda mamlaka husika zitasema. Enjoy your day guys Pia soma: Tetemeko...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Taarifa GST inapenda kuutangazia umma kwamba kumekuwa na matukio ya matetemeko ya ardhi katika maeneo ya wilaya ya Manyoni kwenye mpaka kati ya Mkoa wa Singida na Dodoma yakiwa na ukubwa wa 4.3...
3 Reactions
54 Replies
6K Views
Waandishi nguli wa habari za michezo kutoka sehemu mbalimbali duniani wameendelea kuvutiwa na uzuri wa vivutio vya utalii nchini Tanzania baada ya kufanya utalii wa baluni katika Hifadhi ya Taifa...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
Kuna Haya mafunzo ya udereva kwa wale ambao ni wamiliki wa leseni kwa muda wa wiki mbili?? Je vyeti ambavyo vinatolewa vinatambulika na serikali?? Je vyeti hivyo vinaweza kutumika kama sehemu...
2 Reactions
32 Replies
415 Views
Wana wa manabii ni akina nani Katika biblia tunasoma sehemu kadha wa kadha zikiwataja “wana wa manabii”. Katika Agano la Kale, lilikuwepo kundi la watu waliojulikana kama Wana wa Manabii...
0 Reactions
2 Replies
47 Views
Tutalazimisha sana katika imani zetu,ya kwamba nyie ni mwili mmoja but infact siyo kweli, -Inaendelea...! 1. Kibiolojia mnaendelea kuwa watu wawili tofauti Kila mtu ana DNA yake, damu yake...
3 Reactions
3 Replies
64 Views
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na ninahisi kimejengewa mfumo usio rasmi wa kuwaibia vijana wanawabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia kusimamiw semina na...
0 Reactions
3 Replies
594 Views
ShesRise_1 keep it up blood! Nasubiria comments za kuwa wewe ni mimi katika parody😁😁😁
13 Reactions
99 Replies
510 Views
Leo katika historia ya Tanganyika, tarehe 7 Julai ni siku yenye umuhimu wa pekee kwani ndiyo siku ambayo Chama cha Tanganyika African National Union (TANU) kilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1954...
5 Reactions
18 Replies
204 Views
Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma tunaomba mfanyie kazi swala la miundombinu ya vyoo . Matundu ya vyoo (sinks) zimeziba ukiingia chooni unachokutana nacho unaweza kutapika hii sio sawa kabsa ...
4 Reactions
6 Replies
393 Views
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetoa documentary fupi ambayo inaonesha kuwa suala la changamoto ya usafi katika vyoo vya majengo ya chuo hicho umefanyiwa kazi na kwamba vyoo ni visafi. Ikumbukwe...
2 Reactions
5 Replies
281 Views
JANUARI 2026 1 Januari 2026 – Alimtembelea Rais Emmerson Mnangagwa katika shamba lake. 3 Januari 2026 – Aliwazawadia wanachama wa Johanne Masowe magari yenye thamani ya zaidi ya USD 500,000. 7...
5 Reactions
30 Replies
504 Views
Back
Top Bottom