Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi kila nikitazama mbele sioni kama nitatoboa na hatimae kuingia paradiso. Nimekaa nikafikiria na kuwaza sana Mungu atakuwa na faida Gani iwapo atatuchoma moto wa Milele? Na vipi tulio tiyari...
33 Reactions
230 Replies
3K Views
Nimefikiria sana hao watoto wake jinsi wanavyokuja kuja kua madoni hapo baadae.halafu sasa nika imagine mzee wangu kama akitangulia jinsi nitakavyoteseka maana hana kitu zaidi ya makoti.Daah...
16 Reactions
43 Replies
676 Views
Nimelipia kifurushi cha Azam TV tarehe 5 Oktoba 2026 kwa kiasi cha Sh28,000 kupitia Azam Pesa. Muamala unaonyesha kuwa malipo yamefanikiwa kikamilifu, lakini Azam TV wanadai kuwa fedha hizo...
0 Reactions
0 Replies
10 Views
Hivi ni hayo makebo yao makubwa na sura za kutmbeka ndio zinawapa hamsha hamsha mnachanganyikiwa? Moja ya kitu ambacho kimedondosha wanaume wengi ni "USHAMBA WA MAPENZI"
5 Reactions
16 Replies
238 Views
Wakuu, habari za majukumu. Hakuna anayeweza kubisha kuwa jukwaa hili la JamiiForums limekuwa kimbilio letu kubwa la kupata habari mbadala ambazo mara nyingi hazipati nafasi kwenye vyombo vikuu vya...
0 Reactions
0 Replies
15 Views
🔌 USITESWE TENA KUSHINDWA KUCHARGE LAPTOP! 💻⚡ 🚗 Car Power Inverter – 12V/24V Chaji Laptop, Tablet, Simu na vifaa vingine ukiwa safarini au kwenye gari. ✅ Inatumia umeme wa gari ✅ USB & QC3.0 Fast...
0 Reactions
0 Replies
16 Views
Habari zenu Hivi ulishawahi kukaa chini na kujiuliza kwanini amri ya kwanza ya Mungu kwenye Torati imekemea suala la Ushirikina kabla ya kukemea uuaji, uongo, ushoga, uzinzi, wizi n.k? Kwanini...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Vazi la mwakilishi wa Nepal katika Miss Grand International limeibua mjadala kuhusu nafasi ya mashindano ya urembo katika kuwasilisha maumivu ya wananchi, wakati Jihan Dimack wa Tanzania alichagua...
1 Reactions
2 Replies
91 Views
Mimi ni mmoja wa wale watanzania ambao natumia sana leseni ya kimataifa ( international driving licence) pamoja na leseni ya nchi ninayoishi ambavyo huwa navyo mara zote. lakini nikiwa Tanzania...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Hii ndio Hali ya Dunia inakoekekea. Japo ndio wavumbuzi wa teknolojia za kisasa zilizorahisosha maisha hapa duniani lakini kwa sasa hawazaliani tena. China, Korea na Japan ni karibia wazee tupu...
4 Reactions
57 Replies
443 Views
Kwa nini Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Warombo, Wasiha na Wa Old Moshi wote wanaitwa wachaga wakati lugha zao ni tofauti ? Mbona kama utapeli ulianza mapema?!
5 Reactions
28 Replies
367 Views
Tangu enzi za simu za viswaswadu, Wi‑Fi za makazini, hadi kompyuta za Windows XP, teknolojia imekuwa ikibadilika haraka kuliko ushauri tunaorithi kutoka zamani. Ndiyo maana si kila “ukweli”...
2 Reactions
2 Replies
88 Views
Tuwe makini sana tunaponunua mboga siku hizi Maana,wanaweka dawa nyingi za kunenepesha na kukuza haraka haraka. Pia sumu ya kuulia wadudu inapigwa mara Kwa mara . Tuweni makini jamani
4 Reactions
32 Replies
334 Views
1. Utangulizi Wakristo mara nyingi hudai kwamba Mtume Muhammad ﷺ alipokutana na Jibril pangoni Hira hakuwa malaika bali shetani. Hoja yao hutokana na simulizi kwamba Mtume aliingiwa na hofu...
5 Reactions
52 Replies
1K Views
Kwa wale wanaopenda sana kutumia vitu VYA upakao vya mitume na manabii WA UONGO(maajenti WA kuzimu,wanyemikataba na kuzimu,wanaochukua nguvu zao kuzimu/wanaotumia mafuta na VITU VYA upako kutoka...
3 Reactions
3 Replies
64 Views
Utakuta miaka 35 plus hadi 50 wapo wanaishi kwa wazazi wao. Au akijitahidi sana basi ameolewa na mwarabu kapangiwa nyumba. Na unamwona kama mwanaume hivi kumbe ni mke wa mtu. Kinondoni ni Wilaya...
6 Reactions
5 Replies
210 Views
Hamjambo! Kujitambua ni pamoja na kutunza uliyonayo. Akili yako, hisia zako, roho yako, mwili wako. Na mengineyo. Ngozi yako ni sehemu ya baraka ulizopewa. Hivi kweli ngozi yako thamani yake ni...
6 Reactions
28 Replies
169 Views
Mashabiki wa Ligi Kuu ya England nchini Tanzania wanajiandaa kushuhudia tukio la kipekee baada ya Kombe la Ligi hiyo kutua rasmi nchini kwa mara ya kwanza kupitia Guinness, Mdhamini Mkuu wa Bia wa...
0 Reactions
0 Replies
43 Views
Unaweza kuomba, kufunga na kusema “Nakataa umaskini!” lakini kama hujabadilisha maamuzi, nidhamu, matumizi na namna unavyotafuta kipato, maisha yako yanaweza kubaki yaleyale. Wengine kila mwaka...
3 Reactions
7 Replies
50 Views
Back
Top Bottom