Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,898
- 1,505
Wanabodi habari.....
Tumekua tukilalamika sana lakini hatusikilizwi juu ya upataji wa tiket za SGR... mfano mzuri ni lalamiko la Afande na ASKOFU Fulani hivi... toka jana najaribu kukata tiketi toka dom kwenda dar naambiwa tiket hakuna hadi jumatatu lakini kwa wakati huu huu naambiwa niingie mlango wa nyuma nitapata tiketi na kweli nimepata tiketi kwa bei mara mbili ya kawaida😭😭😭( huo mlango wa nyuma uko rasmi?? Au ni uhujumu?..)
Watu wanaopanda wanakwambia muda mwingi kuna siti zknakuwa wazi mwanzo hadi mwisho wa safari na wakati huo huo wanasema chuma imejaa?? Sasa najiuliza kama abiria wamekua wengi kwa nini wasiongeze idadi ya safari?? Kuna tatizo gani kuwa na treni inayotoka kila baada ya saa 1..?? Mbona nchi za wenzetu ni hivyo.... Tutafika kweli??