Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Timu ya Ardhi Sports imefanya vizuri katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali (SHIMIWI) 2026 kwa kutwaa vikombe vinne, ikiwemo ubingwa wa mpira wa miguu...
0 Reactions
2 Replies
34 Views
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb) ameitaka Wakala ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kufanya marekebisho muhimu ya mradi wa maji wilayani Hanang' baada ya...
0 Reactions
1 Replies
28 Views
Inachukulia hatma yako alafu inafungwa kisawa sawa na kunenewa na inatupwa ziwani. Kinachofatia ni wewe kuona cha mtema kuni maisha yako yote. Nafikiri wakazi wa majita na ukerewe wanaelewa...
4 Reactions
6 Replies
142 Views
Huu ni ukweli mchungu ambao wengi hawapendi kuusikia. Kufanya kazi kwa bidii peke yake hakujawahi kuhakikisha utajiri. Jasho peke yake halijawahi kutoa uhuru. Jitihada peke yake hazijawahi...
5 Reactions
13 Replies
318 Views
BILL GATES: KITAMBULISHO CHA KIDIJITALI KITADHIBITI KILA HATUA YAKO — MWILI WAKO, PESA ZAKO, CHAKULA CHAKO NA CHANJO ZAKO ZITAELEZA KAMA UTAWEZESHWA “RUHUSA YA KUISHI” AU UTAZIMWA! Gates...
2 Reactions
16 Replies
170 Views
MWANAUME MASKINI HANA NAFASI YA KUFANYA MAKOSA MFULULIZO Kuna ukweli mchungu ambao wanaume wengi hawaambiwi mapema. Ukizaliwa maskini kama mwanaume — maisha hayatakusamehe kirahisi. Kwa sababu...
6 Reactions
9 Replies
363 Views
Habari zenu nikirudi bongo nampango wakupitiliza kwenda kisiwani mafia kuishi HUKO naomba nijie yafuatayo. Starehe lounge na night clubs, utalii, wingi wa watu, ushirikina, networks uhakika...
3 Reactions
52 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Leo 7 Oktoba 2026, amewasili Nchini Uingereza ambapo atakuwa mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Jukwaa la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza. Katika ziara hiyo...
0 Reactions
6 Replies
166 Views
Huenda sijui jeshi la polisi linafahamu au laah Pale Mabibo kwenye kituo Cha mafuta CHA lake oil pembeni Kuna sehem ya kusimama trafikinwa polisi WA KAWAIDA kituo kimegeuka sehem ya kuwa uliza...
3 Reactions
7 Replies
130 Views
Watu wengine waliuliwa mabarabarani. Wengine nyumbani. Wengine walibebwa mahospitalini. Wengine walifia jela baada ya kutupwa wakisubiria kesi za uhaini. Asikudanganye mtu watu waliohusika na...
2 Reactions
3 Replies
45 Views
Selena Gomez ni miongoni mwa watu maarufu wenye mashabiki wengi zaidi duniani kwenye Instagram, lakini aliamua kuifuta App hiyo kwenye simu yake baada ya kuona inaharibu afya yake ya akili...
1 Reactions
4 Replies
121 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
161 Reactions
1K Replies
76K Views
Mamlaka ya Usafirishaji Simiyu haifanyi kazi kwa usahihi, kwani abiria wamekuwa wakitozwa nauli ambazo haziendani na umbali wanaosafiri. Mfano, umbali kutoka Bariadi mpaka Dutwa ni km 38, ambapo...
0 Reactions
0 Replies
13 Views
Wadau kama nimekaa miaka minne mradi umeisha NSSF yangu inasoma 24,000,000. Je NSSF inanilipa kiasi gan . wamekaa na fedha yangu mda wote wa miaka minne, je waniongezea kiasi gani
2 Reactions
10 Replies
160 Views
Mario ametoka marekani tangu aende kwa ziara ya miezi kadhaa, alipo kua akiongea na waandishi wa habari Mario amedai hakusikia nyimbo yoyote ya bongo fleva marekani hii ni tafsiri safari bado...
5 Reactions
17 Replies
217 Views
Tanzania imeendelea kuonyesha viashiria vya kuimarika kwa uchumi. Benki ya Dunia imesema ukusanyaji wa mapato ya Serikali umevuka malengo katika mwaka wa fedha 2026, ukionyesha kuimarika kwa...
0 Reactions
2 Replies
27 Views
Great Thinker... eeh! Eti ni kweli ukipiga chafya ukiwa macho unaweza ukaafa? Halafu chafya ina mahusiano gani na mambo ya kiroho wakuu... Nilishasikia ukipiga chafya unatakiwa useme...
2 Reactions
17 Replies
195 Views
Jeshi la polisi mkoani kilimanjaro limetoa wito kwa wananchi kujenga utamaduni wa kufikisha changamoto za kiusalama kwa jeshi la polisi kabla hazijageuka kuwa migogoro au matukio ya uhalifu ...
0 Reactions
0 Replies
27 Views
WanaJamvi natumai mwaendelea vyema...! Mimi ni mkristo na juzi kati nimeota ndoto nimezingirwa na nyuki wakubwa na wadogo na nikataka kukimbilia ndani nikasema nikiingia ndani naonwataingia ndani...
3 Reactions
23 Replies
160 Views
Back
Top Bottom