min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,176
- 174,113
Nilikuwa na mke wa ndoa tukakubaliana tuachane kipindi sina kitu, ila alivyo ona mimi sio fala akanidanganya tuachane tu ila ndoa tusivunje🤔
Eti kigezo kuwa yeye kaajiriwa nitatumia bima yake ila nifanye maisha yangu😅😅
Aisee niligoma nikamgonga talaka , japo nilizaa nae😊
Akaenda olewa ,ila sasa naliona linalalamika kuhusu mume wake kwangu , fanyeni kukaa kijanja .
Mafala mnaodatishishwa na tako na rangi mnatekwa hapa viazi nyie😅