Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MADEREVA WAKIGOMA, TANZANIA INASIMAMA? Wakuu, kama taarifa zinazosambaa kuhusu madereva kusitisha huduma leo ni za kweli, basi hili si jambo la kuangalia kama mgomo wa kawaida tu. Jiulize...
0 Reactions
3 Replies
100 Views
Biashara ya duka la dawa muhimu , asilimia kubwa wanaoifanya wanaifanya kinyume na sheria. Yani hii biashara wengi wanaiendesha kinyume na matakwa yanayotakiwa hivyo wengi wanaiendesha kiujanja...
2 Reactions
13 Replies
252 Views
Kuna abiria kutoka mikoa mbalimbali wamekwama bandarini sababu ya kukoseakana kwa boti ya kutoka Tanga kwenda Pemba , mtu umetoka Mwanza, Geita, morogoro safari ndefu ukijua Safari Yako...
2 Reactions
12 Replies
149 Views
Habari? Nipo mji wa ugenini kwajili ya utafutaji, na eneo lina frusa kubwa ambazo Mimi ni ndoto yangu kubwa ya mda mrefu na naona nikiwekeza hapo nitafikia Malengo kwa mda mfupi, ila wenyeji wangu...
4 Reactions
12 Replies
284 Views
Kupitia maboresho makubwa yanayoendelea kufanyika katika mifumo ya Sekta ya Ardhi, Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Mwanza imeendelea kutoa huduma kwa ufanisi kwa wananchi wanaotembelea...
0 Reactions
0 Replies
30 Views
4 days Tanzania group joining safari package 2026/2027 Tarangire • Serengeti • Ngorongoro Crater Join our 4 Days Tanzania Group Joining Safari and explore Tarangire, Serengeti and Ngorongoro...
0 Reactions
0 Replies
17 Views
Habari za wakati huu, wana-JamiiForums. Ninatumia kalamu yangu kutoa faraja kwa kila anayejaribu kuboresha maisha yake na familia yake. Kutokana na sababu kadha wa kadha, kama vile kubadilika...
4 Reactions
10 Replies
140 Views
Wakuu kwema, naombeni kujua kiwango cha huo mshahara hapo. Kuna kazi nimeona Ofisi ya Msajili wa Hazina sasa nataka kuapply, ila kabla sijafanya hivo naomba kujua salary imekaaje Asanteni
3 Reactions
53 Replies
2K Views
Msajili wa Hati Nchini, Bw. David Mshendwa, amemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Chato, Bw. Louis Bura, Hati Miliki aliyopata kupitia Kliniki ya Ardhi inayoendelea katika Viwanja vya Maonesho ya Madini...
1 Reactions
0 Replies
30 Views
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Albert Msando ametoa akizo kwa wenye mabasi katika kituo kikuu cha Mabasi Magufuli kuondoa magari yao na kuyapeleka yadi kwao hata kama yana abiria. Msando ametoa agizo...
5 Reactions
34 Replies
715 Views
Hili siyo jungu ni uhalisia kabisa, huko kwenye Halmashauri zetu ili uwe mkuu wa idara shart moja wapo inatakiwa uwe na Master degree, Sasa imetokea kuna halmashauri watu wasio na sifa wanakaimu...
4 Reactions
106 Replies
5K Views
Kuna ukweli kiasi gani Wazanzibar walikuwa wanafinyanga vichwa vya watoto kutengeneza shepu nzuri za kichwa kwa kupunguza vichogo? Mbona huwa naona vichwa vya Wazanzibar wengi vya kawaida tu kama...
10 Reactions
48 Replies
400 Views
Mwanamukuziki mkongwe mzee Ally zero tumwombee hali yake ki afya haiko sawa. Hata kama famimia yake haijasema lakini kimwonekano hali yake ki afya haiko sawa. Katika pita pita zangu huko...
3 Reactions
19 Replies
292 Views
Ukisikia mjini shule, shamba darasa. Jiulize hao waliotunga huo usemi walikuwa na maana gani ama walikutana na masahabu gani! Akili ya binadamu ni kitu cha kushangaza mno. Kina uwezo wa ajabu...
88 Reactions
699 Replies
109K Views
Nimeishi South kwa takriban miaka mitano hivi kuanzia 1996 ni mara baada ya Mandela kuachia hatamu na kumkabidhi Thabo Mbeki kijiti.... Kinachotokea sasa huko kina mizizi na ubaguzi wa rangi...
123 Reactions
287 Replies
29K Views
Panda Hill Kuna haya madini yanaitwa Niobium. Yanatumika kwa kuchanganya na chuma ili kukifanya kiwe imara na kitumike kwenye vitu kama ndege, vifaa vya anga za juu, vifaa vya kivita na vifaa...
3 Reactions
0 Replies
170 Views
Nimejaribu kufuatilia hii kesi tangu ilivyoanza mpaka sasa unaona kabisa serikali inajilaumu kuwahi kumkamata Lissu kabla ya yale machafuko(maandamano halali). Ndo maana kuna kipindi wakataka...
8 Reactions
10 Replies
229 Views
Binti Asnat Philbert ametwaa taji la Miss Karagwe 2026 katika shindano lililofanyika usiku wa kuamkia Septemba 27, 2026, chini ya maandalizi ya The Boom Vibe. Asnat mzaliwa wa Kata Kayanga...
2 Reactions
5 Replies
103 Views
🇹🇿 Tanzania has removed 🇳🇬 Nigerians from its restricted “Referral Visa” list. 1) No more special pre-clearance. 2) Nigerians can now use Tanzania’s e-Visa or visa-on-arrival route like other...
0 Reactions
1 Replies
15 Views
Mkutano huu unatajwa kuwa wa kihistoria kwa Tanzania kwa kuwa ni mara ya kwanza kwa Nchi yetu kuwa Mwenyeji wa mkutano wa IPU, utakao wakutanisha Viongozi na Wajumbe wa Mabunge kutoka sehemu...
0 Reactions
3 Replies
56 Views
Back
Top Bottom