Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ANAANDIKA BICHWA KOMWE 👌 Katika hii jamhuri yetu, na hata kwingine kokote nje ya Tanganyika, ni ukweli ulio wazi kwamba, kupata mtoto ni rahisi sana kuliko kupata ajira ya Tamisemi. Watu wengi...
17 Reactions
173 Replies
1K Views
Mimi ni mkazi wa Chalinze, Mtaa wa Nero, Darful. Tunaendelea kukabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji mara kwa mara. Wakati mwingine tunakaa hadi mwezi mzima bila kupata maji. Hadi...
0 Reactions
0 Replies
19 Views
Wakuu natoka msibani kwa mjomba wangu muda huu Mjomba alikua mfanyabiashara alikua na upepo wa biashara ogopa, Alikua akija kununua mzigo hadi yeye amalize ndo wengine wenye mitaji midogo midogo...
5 Reactions
10 Replies
186 Views
Huu ndio moja ya uvumbuzi wa hovyo na hatari kuwahi kufanywa duniani nayo ni AI Kiswahili wanaita sijui akili mnemba sijui unde sijui. Ila AI ni moja ya vumbuzi mbaya na hatari kuwahi kufikiri na...
21 Reactions
78 Replies
941 Views
Katika kuangalia hali ya kisiasa inavyo kwenda sasa, kuna kitu kimoja ambacho wabongo wengi kama hatukioni ila ndo msingi mama wa haya yote na ndo maana hii nchi tumeshikwa kama mburula. Ni kuwa...
3 Reactions
17 Replies
121 Views
Mantiki ya swali langu inalengo la kufahamu, je, Ekaristi ni kitu ‘Spiritual’ au ni kitu ‘physical’? Meaning, mtu anaweza kupokea Ekaristi bila kula kile kioande cha mkate? Spiritually tu kwa...
3 Reactions
115 Replies
6K Views
Jana nilihudhuria kanisa moja Wakaja wamama watatu na mzee mmoja Wakanza kuelezea mambo ya dawa zao nk Walipomaliza kuna mamaamoja akasema zinaponya na ukimwi na cancer Kabla ajamaliza...
1 Reactions
12 Replies
143 Views
Tafadhali husika na kichwa cha uzi huu. NSSF Wamekuja na mbinu mpya zifuatazo ili kuhakikisha wanufaika hawapati hela zao: Hawajatangaza mahali popote kwamba fao la Kujitoa limerejeshwa licha ya...
16 Reactions
79 Replies
1K Views
Ni hakika wote tunajua kuhusu utatu mtakatifu... Yaani the father, son and the holy spirit. Also hii ina direct coleration na Body, mind and soul.. Hizi ni dhana tu za kujaribu kuelezea kitu...
9 Reactions
135 Replies
669 Views
Huenda wewe ni mfanyabiashara, Mwajiriwa, Au umeniajiri, Huwa unafanya ninibunapoona gafla mambo yamebadilika? kipindi hicho unafanyeje usikate tamaa na uendelee kupambana? Mimi natumia njia...
4 Reactions
10 Replies
91 Views
Leo tuzungunzie Gonjwa la UKIMWI. Kuwa mvumilivu kusoma, pengine ukapata Dawa ya UKIMWI katika Makala yangu! Imenibidi nikimbie Hadi Google, nikafanye Utafiti wangu Juu ya Asili ya Ugonjwa Huu...
8 Reactions
31 Replies
461 Views
Anatomia ya kobe ni mfano bora kabisa wa jinsi ya kujilinda na kuishi katika mazingira ya nchi kavu: Gamba lake la juu lenye umbo la kuba na gamba la chini bapa huunda ngome isiyopenyeka...
3 Reactions
10 Replies
120 Views
Mungu alimfanya mtu? au alimuumba mtu? Embu fafanua (mwanzo 1;26
3 Reactions
37 Replies
195 Views
Siyo kila unapopita brother habari yako au kila siku unampgia mtu simu unamwambia nilikuwa nakusalimia kumbuka SALAMU YA MASKINI INACHUKULIWA KAMA OMBA OMBA
1 Reactions
4 Replies
64 Views
Binafsi nilipo kuwa chuoni nilitokewa kupendwa na mrembo.. Actually she was a genuine lover. Ni ile aina ya pisi ambazo kila nyakati ya siku lazima ikujulie hali, yaani I was engulfed in her love...
9 Reactions
43 Replies
522 Views
John Glenn alikataa kuruka hadi mwanamke mmoja alipohakiki kwa mkono hesabu za kompyuta. Jina lake lilikuwa Katherine Johnson. NASA ilikuwa tayari na mashine za kielektroniki kufikia mwaka 1962...
4 Reactions
15 Replies
144 Views
  • Redirect
Anatomia ya kobe ni mfano bora kabisa wa jinsi ya kujilinda na kuishi katika mazingira ya nchi kavu: Gamba lake la juu lenye umbo la kuba na gamba la chini bapa huunda ngome isiyopenyeka...
3 Reactions
Replies
Views
Mada maalum ya uzao wa Afrika ambao haufahamiki sehemu kubwa ya dunia.. Ni picha na habari kwa niaba ya FB na mitandao mingine SIRI ILIYOFICHUKA KUHUSU MILLI VANILLI. MILLI VANILLI ni kikundi...
18 Reactions
2K Replies
73K Views
Wakuu ivi izi kampuni kama Yas, Vodacom au Airtel zimeshindwa kabisa kuweka utaratibu wa Kukopesha izi flagship smartphone kama Pixel 10, Iphone 17 au Samsung S26 kwa Mkopo? Badala yake...
11 Reactions
81 Replies
1K Views
Tayari Civilian-Coin ameshalipia Pesa taslim kwa ajili ya gazeti la Serikali na anachosubiri ni lini Gazeti la Serikali litatangaza taarifa yake ili aende NIDA kufanya mabadiliko.
0 Reactions
4 Replies
57 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…