Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,405
- 12,707
Huu ndio moja ya uvumbuzi wa hovyo na hatari kuwahi kufanywa duniani nayo ni AI Kiswahili wanaita sijui akili mnemba sijui unde sijui.
Ila AI ni moja ya vumbuzi mbaya na hatari kuwahi kufikiri na kufanywa.
AI ni kitu cha hatari kuliko hata bomu la kinyuklia ubaya unaoendelea sasa ni ushindani wa AI kwenye silaha za kivita mataifa makubwa yanacho jaribu kufanya ni kitu kibaya.
Kwa sasa tupo kwenye weak AI yaani kwa ufupi ni sawa na mtoto anayenyonya hata kutambaa bado hajaanza siku huyu mtoto akikua ni disaster.