Kampuni za simu zimeshindwa Kukopesha Flagship Phones?

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,499
Reaction score
9,317
Wakuu ivi izi kampuni kama Yas, Vodacom au Airtel zimeshindwa kabisa kuweka utaratibu wa Kukopesha izi flagship smartphone kama Pixel 10, Iphone 17 au Samsung S26 kwa Mkopo?

Badala yake wanakopesha low end phone tu kama A series.

Kwanini wasiweke izo flagship ata kwa client kulipia upfront fulani?

Hawa brokers wanakopesha simu kwa kweli wanapiga sana watu kwa riba zao kubwa na sijui hata kama wako regulated na authorities au wanajiamulia tu
 
Huwezi miliki Flagship kwa kukopa. Ni sawa na kutaka kumiliki Range Rover kwa kukopa.

Not your league.
Maneno haya anaongea mtu aliepo nchi masikini ya dunia ya tatu. Huko zinaootoka hizo simu na Range Rovers asilimia kubwa wanazimiliki kwa njia ya mkopo na maisha yanaemda. Mimi binafsi wakati niko UK kila simu mpya nilikuwa nachukua kwa ' CONTRACT' yaani unaingia mkataba na mtandao wa simu kwa miezi 18 au 24 unalipia £30-40 kwa mwezi huku ukipewa dakika na gb bure kila mwezi. Ikiisha miezi mliokubaliana simu inakuwa yako.
 
Kwa kweli niko nchi masikini. Ndio maana nimesema haiwezekani, kwa sababu bidhaa za flagship uchumi wetu unazichukulia kama za ufahali ndio maana wenye kuzimiliki wana ukwasi tayari.
 
Umiliki wa vitu vizuri mfano brand new cars,nyumba maeneo mazuri etc ni mgumu nchi kama Tz kwasababu ya cash economy. Hatuna finance system kama wenzetu mfano SA hapo.
Kama una mshahara 2-3m ni rahisi kumiliki gari jipya kwa kulipa 500k-1m kwa mwezi kiliko kuchanga hadi upate 120-200m ununue cash.
 
Nakuelewa. Na kwa nchi yetu, mtu mwenye mshahara wa 3 Milion, nature ya kazi yake inamuwezesha kupata Milions za kumiliki hizo flagship brands
 
Wakuu ivi izi kampuni kama Yas, Vodacom au Airtel zimeshindwa kabisa kuweka utaratibu wa Kukopesha izi flagship smartphone kama Pixel 10, Iphone 17 au Samsung S26 kwa Mkopo?

Badala yake wanakopesha low end phone tu kama A series.

Kwanini wasiweke izo flagship ata kwa client kulipia upfront fulani?

Hawa brokers wanakopesha simu kwa kweli wanapiga sana watu kwa riba zao kubwa na sijui hata kama wako regulated na authorities au wanajiamulia tu
Songesha hamlipi ije kuwa high end phones?
 
Back
Top Bottom