Ili ufanikiwe ni lazima uwe katili

Ili ufanikiwe ni lazima uwe katili

Markomx

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2016
Posts
791
Reaction score
933
Wakuu natoka msibani kwa mjomba wangu muda huu

Mjomba alikua mfanyabiashara alikua na upepo wa biashara ogopa,

Alikua akija kununua mzigo hadi yeye amalize ndo wengine wenye mitaji midogo midogo mtafafa

Alikua kwenye biashara kwa miaka zaidi ya kumi

Mala gafla kaanza kuumwa,peleka vipimo hospitali mgonjwa hana ugonjwa

Unatoka ugonjwa huu unakuja huu,shida nini haijulikani

Mala gafla uncle down,
Za chini chini zinasikika,

Tumezika,mjomba kaenda

Leo ndio nimejua ukiwa mtafutaji jua utafutaji wowote ni tangazo la VITA

Wakati wewe unatafuta jua kuna kundi lazima likutafute,usidharau chochote,iwe biashara,ufugaji,siasa,kazi za kuajiriwa na kujiajiri,ujenzi nk,binadamu sio marafiki zako

Ukipata muda omba sana,kama imani yako ni haba tembea sana kwa wazee

Namaanisha,kwenye ishu yoyote ya utafutaji ni lazima uwe katili,uwe imara kweli kweli,katili wa kiroho na katili wa mifumo,huwezi kufanikiwa na kusimama kwa muda mrefu kama ni mwepesi mwepesi
 
mjomba wako alikuwa na mambomambo ya wanawakewanake wengiwengi.... Msitusingizie wachawi, wala hatuhusiki na mauti yake.

Tabia njema ni silaha tosha
 
Back
Top Bottom