Nestory Semeni
Member
- Jul 8, 2024
- 13
- 21
Huenda wewe ni mfanyabiashara,
Mwajiriwa,
Au umeniajiri,
Huwa unafanya ninibunapoona gafla mambo yamebadilika?
kipindi hicho unafanyeje usikate tamaa na uendelee kupambana?
Mimi natumia njia hii;
- Kujitenga na kuliangalia swala kwa undani
- kujua kwa nini limetokea na mimi nimesababishaje hilo swala kutokea
Na mwisho,
- Naanza kuchukua hatua kurekebisha mambo.
Wewe huwa unafanyaje?