Kama bado maskini punguza kusalimia watu

Kama bado maskini punguza kusalimia watu

Matunzo 02

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2026
Posts
1,233
Reaction score
2,378
Siyo kila unapopita brother habari yako au kila siku unampgia mtu simu unamwambia nilikuwa nakusalimia kumbuka
SALAMU YA MASKINI INACHUKULIWA KAMA OMBA OMBA
 
Back
Top Bottom