Ukiangalia jinsi mfumo na muundo wa mwili wa binadamu ulivyo dhaifu na wenye changamoto nyingi hatarishi, kuna uthibitisho wowote kuumbwa na mbuni mkuu ?
Ulimwengu wenye matetemeko, Mafuriko...
Wataalamu wa sekta ya ardhi mkoani Mtwara wakiendelea kupata mafunzo ya matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi katika Ukumbi wa Chuo cha Stella Maris, Mtwara, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Awamu...
Tukielekea ukingoni mwa mafunzo ya mfumo mpya wa Ardhi kidijiti mkoani Kagera, wataalamu wa sekta ya ardhi wameanza kuonesha matokeo ya ujuzi walioupata kwa vitendo, ambapo hadi sasa hati nne za...
Mwanamke!!!!…maisha mazuri hayaji kwa kupanua panua miguu yako hovyo hovyo…
Umalaya huleta nuksi sana kwenye maisha..wengi wenu hamjui tuu..
Yaani kwanza Malaya hanaga haiba ya kike..by 100%...
M-pesa, Tigo-pesa, Airtel money, halopesa, ezypesa nk zinatisha.
Makato ni makubwa mno, ni kweli huduma hizi za kutuma na kupokea pesa zinatusaidia Sana kuokoa muda na kufanya biashara kwa...
Nimekataa kurudiana naye, sasa anataka kuvujisha picha mtandaoni alizonipiga kwa Siri. Sijui Nifanyaje?
Wanajukwaa, nina jambo langu nataka niwashirikishe. Kwa muda mrefu limekuwa likinisumbua...
TUMA WAZO BUNIFU KUBORESHA HUDUMA NA MIFUMO YA KODI, USHINDE HADI MILIONI 50
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatoa fursa kwa Watanzania wabunifu kushiriki katika msimu wa pili wa kuwasilisha...
Watu wengi waliofanikiwa huzungumza swala la role model au mtu wanaye mtazama na wanatamani kuwa kama yeye. Je kwako wewe mwana JF ,swala hili lina uzito kwako na role model wako ni nani na kwa nini?
Abiria tunaosafiri kwa magari ya abiria kutoka Chanika kwenda Kariakoo tunalalamikia ongezeko la nauli linaloanza kutumika kuanzia majira ya saa 11 jioni na kuendelea.
Badala ya nauli ya kawaida...
Kero yangu kuu ni Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Manispa ya Mpanda – Katavi, tatizo la maji ni kero kubwa sana, yaani inaweza pita wiki tatu au mbili hatuna maji hasa Kata ya Mpanda Hotel, Mtaa...
Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere Julius International Airport, Terminal II inatia aibu pale nje, abiria wanaposubiri muda wa kuingia katika ukaguzi vipaza sauti vimechakaa na havitoi sauti...
Unajua tena nilikuwa mamkoa .
Kijiji chote wanajua nzee nimetoka Dar.
Basi nilibadilisha mpaka tembea yangu,
Maisha yalikuwa mazuri kila ntu anataka kuwa karibu na nzee wa Dar.
Huku na kule...
Nisameheni🙏
Hakika mtaka vyote hukosa vyote sasa najuta hata wale wako kuwa wananiona wa maana wamenitupa kwa trash
Ndugu zangu, msipende kuchukiza watu, kuna watu ukimess up nao, utachukiwa na...
Ilikuwaje mpaka ukakubali kwamba watu tuna mitazamo tofauti, na kwamba hata iweje hatuwezi kufanana mawazo?
Hapa naongelea kujifunza kuheshimu mitazamo ya watu wengine, hasa ile yenye upande...
Kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave
Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu...
Reli ya Kwanza Tanzania Bara – Tanga (1893).
Shule ya Kwanza ya Sekondari ya Serikali – Tanga (1890) (Tanga Old School).
Shule ya Kwanza kabisa (ya Anglikana) nchini Tanzania – Magila, Muheza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.