Wizara ya Miundombinu ya Ukraine imesema kuwa shambulio la ndege isiyo na rubani ya Urusi dhidi ya meli yenye bendera ya Tanzania, iliyokuwa ikielekea bandari ya Ukraine, limesababisha kifo cha...
Sehemu hii kutoka kwenye makala ya Be Scofield katika jarida la The Guru Magazine inaeleza kwa undani madai na sauti zilizorekodiwa kutoka kwenye kipindi cha faragha cha "ukombozi" kati ya mtoa...
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kimoja hapa Tanzania.
Chuo kilitupa nafasi ya kuchagua sehemu ya kufanya field kwenye account ya SIMS, nikachagua kufanya field VETA mojawapo hapa...
Baada ya kifo mwili wa mwanadamu hukauka na kuwa mgumu kabisa. kama mwili wa mwanadamu haujahifadhiwa vizuri mchakato wa kuoza huanza saa 24 baada ya kifo...
MPOGOLO: ATAYETUPA UCHAFU JIJINI DAR FAINI LAKI 3 HADI MILIONI 1 AU KIFUNGO CHA MIEZI 12–24
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amesema mtu atakayebainika kutupa taka hovyo jijini Dar...
Haya bhana… nimekata tamaa kidogo. 😅
Kuna muda unafika unaona umejaribu kila upande, umefikiria kila njia, lakini bado mambo yamekaa kimya.
Kwa sasa sina cha kujifanya. Nimechoka, nimebanwa, na...
Mamlaka ya Maji Sengerema (SEUWASA) imekuwa ikikabiliwa na changamoto kubwa za kiutendaji na kifedha, hali ambayo imeanza kuwaathiri sana watumishi pamoja na utoaji wa huduma kwa wananchi.
Kwa...
Mimi kero yangu ni Hospitali ya Manispaa ya Singida zamani Hospitali ya Mkoa imejengwa majengo mapya ila tangu majengo hayo yaanze kazi ni miaka kadhaa sasa wahudumu wanateseka kupeleka wagojwa...
Makonda yupo sahihi sana,tukumbuke makonda ni kijana mwenye ubunifu wa hali ya juu sana,haikupaswa kwa wakati kuwa na jezi zile zile za kimazoea,jezi za wakati wa msimu huu zilistahili kuwa extra...
Sio kwa ndugu, rafiki, askari wala mwanajeshi hata kwa mkuu wa nchi siwezi jiliza wala kutia huruma ili nipate kitu fulani au haki fulani nitapambana mwenyewe.
Nimegundua watu hutumia kujiliza...
Wakuu,
Leo asubuhi nimekaa juu ya jiwe lililoko nyuma ya nyumba yangu naota jua la saa nne.
Ghafla nikaona Mzee mmoja anatokea upande wa mashariki (alikuwa anatembea taratibu), nikaangalia...
AUWSA ARUSHA..tangu mwezi wa Tano hawajashughulikia Bomba la Maji lililopasuka Kata ya Oloiren Mwanama Reli na Maji kuharibu barabara. Hali ni mbaya sana sasa.
Kuna jambo ambalo tumeliona mara nyingi katika historia. Kitu kipya kinapotokea, watu huanza kusema:
“Hiki kitu kitakuwa hatari sana siku zijazo!”
Lakini miaka inapita, watu wanakizoea, sheria...
Kabila la Dani la Papua New Guinea lina desturi za kutisha za ndoa. Ili kuoa, mwanamume lazima akate kidole kutoka kwa mkono wake wa kulia kama mahari kwa bibi arusi wake. Katika kesi ya talaka...
Nimelelewa kwenye mazingira ambayo sikupewa nafasi ya kuchanganyika na watoto wenzangu. Baada ya kuoga na kupaka mafuta ilikuwa ni kukaa ndani hadi muda wa kula usiku. Sikuwahi kuwa na marafiki wa...
Habari wakuu natumaini mko salama.
Kisa hiki kilinitokea mwaka 2007
Pala Arusha njiro
Nilikua nachukua ujuzi wa kuchomelea mageti na vitu vingine vya Jamii ya chuma . Nilikua mwaminifu sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.