Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Reli ya Kwanza Tanzania Bara – Tanga (1893). Shule ya Kwanza ya Sekondari ya Serikali – Tanga (1890) (Tanga Old School). Shule ya Kwanza kabisa (ya Anglikana) nchini Tanzania – Magila, Muheza...
19 Reactions
36 Replies
955 Views
Huyu dem nampenda hatujafanya chochote anataka nimtolee posa!! Na hataki kutoa kabisa anasema mpaka Nimuoe mana hataki kuchezewa!! Yani sielewi anasema wanaume akipata tu ngono hakutaki tena...
13 Reactions
37 Replies
413 Views
Kupata mwanamke mzungu ,tena akakupa kipaumbele kwenye maisha yake ni rahisi mno. Tena wapo wengi mno ,ila ni wale rijecti ambao kwenye nchi zao soko lao ni finyu mno. Yani wewe...
20 Reactions
67 Replies
712 Views
Wakuu..... imepita kama mwezi 1 na nusu tokea nipitie changamoto ambayo baadae ilinipa funzo kuhusu namna ya kuishi kwa mipango. Nilipuuzia sana kuhusu pesa ya akiba, sikuwa na bajeti ya matukio...
10 Reactions
31 Replies
337 Views
Huwa ni siku ngumu sana kwa mzazi kumpeleka mtoto shule kwa mara ya kwanza , umeshakaa na mtoto miaka 3 / 4 hajazoea na haujazoea mtoto kukaa na watu baki , yeye amezoea kukaa mazingira ya...
11 Reactions
46 Replies
592 Views
Ikumbukwe ziliongezwa siku za ku apply mkopo kwa elimu ya juu na kati kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Ila kwa sasa, ukiingia kwenye account ya kuombea mkopo, inaandika NO APPLICATION...
1 Reactions
18 Replies
271 Views
Basi letu limekamatwa Mlandizi kwa kosa la ku-overtake. Tupo kituo cha polisi tangu saa 11 jioni hadi sasa saa 1 usiku, bila kupewa taarifa yoyote kuhusu kinachoendelea. Kwenye basi kuna watoto...
3 Reactions
3 Replies
185 Views
Anonymous
Natokea Iringa, Wahudumu wa Mfumo wa YES Portal ya Wizara ya Vijana hawatupatii msaada tukikwama kwenye online application za mkopo wa vijana. Unapiga simu muda mrefu hazipokelewi na zikipokelewa...
1 Reactions
2 Replies
143 Views
Siku ambayo Judge atatoa hukumu imekaribia. Kuna watu wamejiandaa kushangilia, lakini wengine mioyo yao inadunda kwa hofu, kwakuwa wanajua ni wakosaji. Je, Judge huyu atatoa hukumu ya haki? Je...
9 Reactions
16 Replies
443 Views
Magazeti haya yote matatu hutoka kila moja na muda wake, BongoFlava hutoka Mara Moja kwa wiki, Celebrity hutoka Kila baada ya siku mbili na ASUBUHINEWS kwasasa ni Mara Moja kwa wiki. Kampuni...
0 Reactions
11 Replies
232 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameileza Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es salaam kwamba Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhani Kingai, amemweleza kuwa...
1 Reactions
4 Replies
216 Views
  • Redirect
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma imezindua rasmi basi jipya lililogharimu kiasi cha shilingi milioni 334 za Kitanzania. Basi hilo limezinduliwa tarehe 18 Septemba 2026 na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma...
1 Reactions
– Replies
– Views
Ika pisi za kibongo bwana.. Unakuta kimeweka bio ya kumcha Mungu.. Una ki DM kina respond kwa kuchelewa makusudi kionekane kiko on demand. Then unakivumilia hivyo hivyo.. Basi nacho unaanza...
16 Reactions
203 Replies
2K Views
Nimezaliwa wazazi bado hawajajipata kwa hiyo ilibidi nisome shule za serikali primary Pia nimekulia mkoa wa Lindi sehemu yenye waislamu wengi kwa hiyo marafiki zangu wengi walikuwa waislamu na...
10 Reactions
32 Replies
376 Views
Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM: Wafanyakazi wa Puma Energy Tanzania wamekutana jijini Dar es Salaam kusherehekea hatua ya kampuni hiyo kufikisha vituo 100 vya mafuta na huduma za ziada nchini...
0 Reactions
2 Replies
147 Views
Kipindi huu MTI unapandwa tuliweka nguvu sana kuhakikisha una kua salama, tulimwaga maji mengi sana kadiri ya uwezo na ilikua ni kawaida yetu. Sikua na muda nao sana nikiendelea na ratiba zangu za...
6 Reactions
30 Replies
532 Views
Wengi wetu tukisikia sauti hiyo tunafikiria hatari! 😅 Lakini kwa simba, mngurumo ni zaidi ya sauti tu—ni njia muhimu sana ya kuwasiliana baina yao. Na jambo la kushangaza zaidi? Mngurumo huu...
3 Reactions
16 Replies
352 Views
Tazama hio video kisha sema watu kama hawa walipambaniwa kupata uhuru burebure
2 Reactions
1 Replies
74 Views
Hello! Wasanii nimewataja kama sample tu . Suala la hili linagusa makundi yote hasa yale yanayosaka pesa na umaarufu. Unapokwenda kwa mganga halisi kutafuta pesa mara nyingi atapigana upate...
15 Reactions
98 Replies
2K Views
Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali kuhakikisha adhma na maono hayo ya Dira, Ilani...
0 Reactions
0 Replies
99 Views
Back
Top Bottom