POSITIVE ENERGY
Member
- Oct 29, 2024
- 20
- 33
Watu wengi waliofanikiwa huzungumza swala la role model au mtu wanaye mtazama na wanatamani kuwa kama yeye. Je kwako wewe mwana JF ,swala hili lina uzito kwako na role model wako ni nani na kwa nini?
Kwa maisha ya Kiroho ni Yesu,Kwa JF ni Max Melo,aliyekataa kuuza Id za wanaJf Hadi Kwa Pilato!Watu wengi waliofanikiwa huzungumza swala la role model au mtu wanaye mtazama na wanatamani kuwa kama yeye. Je kwako wewe mwana JF ,swala hili lina uzito kwako na role model wako ni nani na kwa nini?
eti kabisa unakuta jamaa anapayuka kwa kupiga kelele kabisa,Watu wengi waliofanikiwa huzungumza swala la role model au mtu wanaye mtazama na wanatamani kuwa kama yeye. Je kwako wewe mwana JF ,swala hili lina uzito kwako na role model wako ni nani na kwa nini?

Dunia imebadilika sana, kufanya mambo bila kuwa na mtu aliyepita hiyo njia nayo inaweza kuwa hatari katika kuyafikia hayo mafanikio. Wewe ukiulizwa hapo, ni miji mingapi umetembelea hapa duniani, unaweza kujiona jinsi huna exposure ya mambo. Lakini kumfuata mtu aliyetembea miji mingi, hakika ameona mengi kuliko wewe. So kwa mtazamo wangu, role model ni muhimu sana.Binafsi kwasasa sidhan kama kuna umhimu wa kuwa na role model maana kwasasa watu wanamaisha aina mbili, kuna yale maisha public na kuna maisha ya secret!
Tena watu waliofanikiwa sana wanamakando kando sana huko nyuma ya pazia, ukija kujua utabak kinywa wazi, sema wanapotoka infront of the mass wanaongea vitu tofauti!
Cha msingi ni kukomaa tu na kuamini njia (halali) zinazoweza kukutoboresha, komaa sana na hizo, kama Mungu yupo upande wako utatoboa tu